Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia...
Ukiwa kama mpinzani au mtu asiye na chama lakini haukikubali chama cha CCM ni mtu gani wa CCM akiwekwa kugombea urais utampigia kura kwa maslahi mapana ya nchi?
Ukiwa kama mwana CCM kindakindaki...
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao...
Haya ni maajabu, kila mtu anaibuka nakutoa tamko lake kwa niaba ya serikali utadhani hawa ni wapinzani wa makundi mawili;
Wagagagigikoko VS Watupori.
Kweli hawa hamna kitu!
Sent from my SM-A125F...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27...
TOP-TIER CABINET FOR 2026.
1. President of URT Samia Suluhu Hassan.
2. Vice President Philip Isdor Mpango.
3. Prime Minister Paul Christian Makonda.
4. Attorney General Palamagamba John Aidan...
Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa...
Moja ya mwananchi wilaya ya kakonko mkoa wa kigoma alilalamikia mbele ya mwenezi kwamba alijenga shule na baada ya kujenga shule hiyo mkurugenzi WA wilaya hiyo alimpa pesa kiduchu tofauti na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwanasheria Mkuu wa serikali Mheshimiwa Dkt Fereshi siku ya leo mbele ya mgeni rasmi Mheshimiwa Rais Dkt Samia amesema kuwa ameshitushwa sana na utitiri wa watu...
Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa.
Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu...
Jana, katika pita pita yangu mitandaoni, nimekutana na clip yenye tafsiri ya neno Tanganyika.
Tanganyika ni neno la Kichapu likimaanisha nchi yenye rutuba.
Kwa uelewa wangu, rutuba inaashiria...
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa
Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi
Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee...
Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake...
Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la...
Naona ndani ya wiki hizi mbili wabunge wetu wameendelea kukunja Shingo wakiongozwa na spika wao , wengi wakiamini kuwa kukiwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka hawatashinda Nafasi zao , huu ni...
Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu.
Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari...
Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais...
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja ikihusu TATIZO LA UHABA WA SUKARI KUJIRUDIA KILA MARA NA KUYUMBISHA BEI SOKONI, NINI SULUHISHO LA KUDUMULA KUTATUA TATIZO HILI? Waalikwa walikuwa kutoka Bodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.