Paul Makonda anaivua nguo Serikali

Meshe

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
376
472
Kuna usemi wa kikoloni unasema " Do not wash your dirty linen in public" yaani kwa lugha ya madafu ni kuwa usifue nguo zako chafu chafu hadharani.
Sasa Mwenyezi yeye anachukua nguo chafu za mamana baba zingine zina madoa sugu alafu anajaribu kuzifua hadharani.
Hii ni hatari na nusu!!
Au anataka kuwa yule mtoto aliyemwambia mfalme kuwa yuko uchi?

Hadi 2025 tutaona na kusikia mengi.
Ila Mwenyezi kwa spidi hii wese litakatikia katikati ya mlima!!
Maana hata IGP una m-summon!!
Una hatari wewe!!
Anyway umleavyo ndivyo akuavyo!!

Hawa ndio akina junior, madeko kama yote!! Ukimgusa tu kakusemelea!!
 
Huxo ndye rais wetu japo hana mamlaka.anatufariji.MAKONDA THE COMING GIANT IN AFRIKA
 
Kuna usemi wa kikoloni unasema " Do not wash your dirty linen in public" yaani kwa lugha ya madafu ni kuwa usifue nguo zako chafu chafu hadharani.
Sasa Mwenyezi yeye anachukua nguo chafu za mamana baba zingine zina madoa sugu alafu anajaribu kuzifua hadharani.
Hii ni hatari na nusu!!
Au anataka kuwa yule mtoto aliyemwambia mfalme kuwa yuko uchi?

Hadi 2025 tutaona na kusikia mengi.
Ila Mwenyezi kwa spidi hii wese litakatikia katikati ya mlima!!
Maana hata IGP una m-summon!!
Una hatari wewe!!
Anyway umleavyo ndivyo akuavyo!!

Hawa ndio akina junior, madeko kama yote!! Ukimgusa tu kakusemelea!!
no,
anashona palipotoboka au palipopasuka 🐒
 
Back
Top Bottom