Kitatokea nini endapo Vyama Vingine vya Upinzani vitajiunga na maandamano ya CHADEMA?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,503
86,053
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano??

swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote? Je huu huenda ukawa ndio muendelezo wa kuanguka kwa CCM?

Niko Kasulu hapa tunajaza mafuta bodaboda na kulazimisha wanafunzi na wana vyuo na magari ya Mashirika ya Misaada ya Wkimbizi kesho wajitokeze kumpokea "Mhemezi" wa CCM. Karibu Kasulu
 
Vyama vingine haviwezi kujiunga na cdm maana wao sio wapinzani, Bali viko kuilinda ccm isitoke madarakani kwani inawarushia chochote. Cdm haina hela ya kuhonga chama chochote kijiunge nao kwenye maandamano yao, maana hivyo vyama vingine hutoa matamko kwa kuagizwa na chama kinachowalipa.
 
Mbowe hawezi kukubali kushea kibuyu cha asali na watu wengine. Ila hakuna tatizo wakijiunga vyama vyote vya upinzani kuandamana endapo mratibu wa maandamano ataendelea kuwa CCM kama ilivyokuwa maandamano ya CHADEMA kwenda UN.
 
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano??

swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote? Je huu huenda ukawa ndio muendelezo wa kuanguka kwa CCM?

Niko Kasulu hapa tunajaza mafuta bodaboda na kulazimisha wanafunzi na wana vyuo na magari ya Mashirika ya Misaada ya Wkimbizi kesho wajitokeze kumpokea "Mhemezi" wa CCM. Karibu Kasulu
ACT WAMETANGAZA SIJUI wanaanza lini
 
Itakuwa poa sana , Tatizo CCM ni dubwana kubwa sana hata huko kwenye vyama unakuta wana watu hivyo sio rahisi kuliangusha .
 
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano??

swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote? Je huu huenda ukawa ndio muendelezo wa kuanguka kwa CCM?

Niko Kasulu hapa tunajaza mafuta bodaboda na kulazimisha wanafunzi na wana vyuo na magari ya Mashirika ya Misaada ya Wkimbizi kesho wajitokeze kumpokea "Mhemezi" wa CCM. Karibu Kasulu
Vyama vipi kwa mfano, vile 14+ACT?, chama cha upinzani ni kimoja tu "CHADEMA".
 
Back
Top Bottom