Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.

Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda mbalimbali .

Hayati magufuli alitumia mfumo wa kulazimisha watu wawe wazalendo na kuipenda nchi yao - kutumia nguvu dhidi ya wasio ipenda nchi waipende ,kulazimisha watu wafuate sheria na n.k

Kwa sasa Rais Samia anatengeneza mfumo ambao watu wanao ipende nchi unakuwa rafiki kuiletea maendeleo nchi yao , Kiuhalisia kwa akili za wabongo na africa kwa ujumla ni ngumu sana .

Kwa kifupi kumpa uhuru Mtanzania na kuvumilia kwa kuangalia utu zaidi kuboa ni ngumu sana .

Si ajabu hata hiyo March umeme ukaendelea kukatika ,sukari na vitu vingine bei zikaendelea kupanda .

Mwisho kabisa Tuipende Nchi yetu nchi ipate maendeleo na maisha yawe vizuri maana sasa hivi hakuna atakae kuvamia ili utoe kodi , hakuna wa kutulazimisha kufuata sheria ,hakuna wa kukuattack ukiwa unapotosha umma .

Tanzania itajengwa na watu wanaoipenda .

Rais wangu punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .​
 
Rais wangu pia punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .​
CHAWA UTAWAJUA TU........................IN TRUE COLOURS OF CHAWA
 
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.

Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda mbalimbali .

Hayati magufuli alitumia mfumo wa kulazimisha watu wawe wazalendo na kuipenda nchi yao - kutumia nguvu dhidi ya wasio ipenda nchi waipende ,kulazimisha watu wafuate sheria na n.k

Kwa sasa Rais Samia anatengeneza mfumo ambao watu wanao ipende nchi unakuwa rafiki kuiletea maendeleo nchi yao , Kiuhalisia kwa akili za wabongo na africa kwa ujumla ni ngumu sana .

Kwa kifupi kumpa uhuru Mtanzania na kuvumilia kwa kuangalia utu zaidi kuboa ni ngumu sana .

Si ajabu hata hiyo March umeme ukaendelea kukatika ,sukari na vitu vingine bei zikaendelea kupanda .

Mwisho kabisa Tuipende Nchi yetu nchi ipate maendeleo na maisha yawe vizuri maana sasa hivi hakuna atakae kuvamia ili utoe kodi , hakuna wa kutulazimisha kufuata sheria ,hakuna wa kukuattack ukiwa unapotosha umma .

Tanzania itajengwa na watu wanaoipenda .

Rais wangu punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .​
Uvumilivu kwenye mgao wa umeme?
 
Kuna mstari mwembamba kati ya uvumilivu na ..... sijui nilitaka kusema nini #MamaYupoKazini
 
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.

Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda mbalimbali .

Hayati magufuli alitumia mfumo wa kulazimisha watu wawe wazalendo na kuipenda nchi yao - kutumia nguvu dhidi ya wasio ipenda nchi waipende ,kulazimisha watu wafuate sheria na n.k

Kwa sasa Rais Samia anatengeneza mfumo ambao watu wanao ipende nchi unakuwa rafiki kuiletea maendeleo nchi yao , Kiuhalisia kwa akili za wabongo na africa kwa ujumla ni ngumu sana .

Kwa kifupi kumpa uhuru Mtanzania na kuvumilia kwa kuangalia utu zaidi kuboa ni ngumu sana .

Si ajabu hata hiyo March umeme ukaendelea kukatika ,sukari na vitu vingine bei zikaendelea kupanda .

Mwisho kabisa Tuipende Nchi yetu nchi ipate maendeleo na maisha yawe vizuri maana sasa hivi hakuna atakae kuvamia ili utoe kodi , hakuna wa kutulazimisha kufuata sheria ,hakuna wa kukuattack ukiwa unapotosha umma .

Tanzania itajengwa na watu wanaoipenda .

Rais wangu punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .​
Are you serious or you are taking the piss.
 
Magufuli alikuwa ni Nduli, fashisti na chinjachinja
 
Jitahidi kusoma andiko lote mkuu
Fafanua, biashara ngapi zimekufa kwa ajili kukosa umeme, ndoa ngapi zimevunyika kwa kukosa kipato.

Mwenzake JPM alithibiti mfumuko wa bei, maisha ya Watanzania wakati wa korona alituvusha kulinganisha na nchi jirani.

Ameweka mifumo tunapata chetu kwenye madini nk. Rushwa ilipungua, nidhamu iliongezeka. Wateule walifanya kazi. Umelipwa kiasi gani? Bibi yako, kijiji chako kina chakula?
 
Kwenye madini ndo alijaribu kabisa. Madini yalikuwa yanatoroshwa sana mpaka dpp wake biswalo alitorosha sana na Sasa pesa zimefichwa china. Asilimia 16 ndo Nini Sasa.
 
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.

Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda mbalimbali .

Hayati magufuli alitumia mfumo wa kulazimisha watu wawe wazalendo na kuipenda nchi yao - kutumia nguvu dhidi ya wasio ipenda nchi waipende ,kulazimisha watu wafuate sheria na n.k

Kwa sasa Rais Samia anatengeneza mfumo ambao watu wanao ipende nchi unakuwa rafiki kuiletea maendeleo nchi yao , Kiuhalisia kwa akili za wabongo na africa kwa ujumla ni ngumu sana .

Kwa kifupi kumpa uhuru Mtanzania na kuvumilia kwa kuangalia utu zaidi kuboa ni ngumu sana .

Si ajabu hata hiyo March umeme ukaendelea kukatika ,sukari na vitu vingine bei zikaendelea kupanda .

Mwisho kabisa Tuipende Nchi yetu nchi ipate maendeleo na maisha yawe vizuri maana sasa hivi hakuna atakae kuvamia ili utoe kodi , hakuna wa kutulazimisha kufuata sheria ,hakuna wa kukuattack ukiwa unapotosha umma .

Tanzania itajengwa na watu wanaoipenda .

Rais wangu punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .​
Unakuwa na Rais anapora pesa zako harafu anasema yeye ni mzalendo 😂😂😂😂😂
 
Kwenye madini ndo alijaribu kabisa. Madini yalikuwa yanatoroshwa sana mpaka dpp wake biswalo alitorosha sana na Sasa pesa zimefichwa china. Asilimia 16 ndo Nini Sasa.
Sio kwenye madini tu. Usiwe kipofu, fungua macho, angalia ziara za Makonda.

Tatizo ni nidhamu serikalini, rushwa, wizi wa ardhi, mali kwa wajane, yatima, wakinamama, maskini na wanyonge, wastaafu.

Hakuna anayejali tena, ufisadi ni kitu cha kawaida sana leo. Unaiba bila wasiwasi wowote. Hakuna utakachofanywa na yoyote. Unakula kwa urefu wa kamba yako. Watakupongeza. Haya ndio mazingira ya sasa.

Rais ingetakiwa afanye ziara kama za Makonda. Yeye anaona ni bora atembee ulaya.
 
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.

Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda mbalimbali .

Hayati magufuli alitumia mfumo wa kulazimisha watu wawe wazalendo na kuipenda nchi yao - kutumia nguvu dhidi ya wasio ipenda nchi waipende ,kulazimisha watu wafuate sheria na n.k

Kwa sasa Rais Samia anatengeneza mfumo ambao watu wanao ipende nchi unakuwa rafiki kuiletea maendeleo nchi yao , Kiuhalisia kwa akili za wabongo na africa kwa ujumla ni ngumu sana .

Kwa kifupi kumpa uhuru Mtanzania na kuvumilia kwa kuangalia utu zaidi kuboa ni ngumu sana .

Si ajabu hata hiyo March umeme ukaendelea kukatika ,sukari na vitu vingine bei zikaendelea kupanda .

Mwisho kabisa Tuipende Nchi yetu nchi ipate maendeleo na maisha yawe vizuri maana sasa hivi hakuna atakae kuvamia ili utoe kodi , hakuna wa kutulazimisha kufuata sheria ,hakuna wa kukuattack ukiwa unapotosha umma .

Tanzania itajengwa na watu wanaoipenda .

Rais wangu punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .​
Mkuu, uongozi katika taasisi nyeti ya urais huangalia zaidi tija ya kiongozi mkuu wa taasisi hii na wala siyo haiba ama hulka binafsi ya mtu. Majukumu yaliyoainishwa kikatiba ya mtu aliyepewa dhamana ya kuiongoza taasisi yanajulikana vyema.

Kuwatendea haki hawa wawili, wote wanapwaya mno katika mizani inayoendana na majukumu nyeti ya kikatiba waliyokabidhiwa. Wakati JPM aliongoza nchi kwa "one man show" huyu SSH aongoza nchi kwa mikakati ya ki "MBWA", ashakhum si tusi, "it's just an acronym for Management By Walking Around*

Hakuna kati yao ameweza ku "adopt" mikakati ya ki "MBO", yaani "Management By Objective'. Ukweli mchungu ni kuwa wote wawili ni "empty case"
 
Back
Top Bottom