Huu ndio ujumbe wa huzuni na masikitiko toka Mtoto Halfan Gidion kwenda kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Raia wa Taifa

Member
Jan 28, 2024
79
112
Wasalaam Jf,

Nimemsikiliza mtoto Halfan Gidion nikatokwa na mchozi binadamu tuzidi sana kumwomba Mungu

Kwakuwa yeye amemchagua Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwamba ndio tegemeo lake la mwisho basi kwa yeyote mwenye namba ya Mhe Rais amfikishie andiko hili ili aweze kumsaidia,

Ni Mimi tu kuwaleteeni habari,
 
View attachment 2891379
Mtoto pole sana Mungu atakusaidia kurejesha Afya yako.

Usiache kupitia Kawe kwa Mtúmishi wa Mungu Boniface Mwamposa Kwa imani upona,
 
Back
Top Bottom