Rais Samia Japo Si Mwanasheria, Lakini Anaijua Katiba ni Sheria Mama Yenye Haki Zote Ndani ya JMT. Je Aruhusu Haki Hizi Ziporwe Tena? Au, Azirejeshe?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,610
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,

Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kupokea maoni ya sheria mpya ya uchaguzi, Mwenyekiti wa Kamati hiyo amesisitiza Kamati yake haitazingatia maoni yoyote yatakayoihusu mabadiliko yoyote ya Katiba!.

Rais Samia japo yeye sii mwanasheria, lakini anaijua vema Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ya kuwa Katiba ni Sheria Mama yenye haki zote ndani ya JMT. Je aruhusu haki za kwenye katiba yetu zilizoporwa na awamu zilizopita, ziporwe tena na awamu yake? au atumie ile falsafa yake ya 4R kuzirejesha?.

Uthibitisho kuwa Rais Samia anajua vema Katiba yetu na kuwa ndio Sheria Mama, na ndio msingi wa haki zote ndani ya JMT, ni huu hapa . msikilize mwenyewe
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=R6Yp74F-P9gvVquT
Hivyo kwa muktadha huu, Rais Samia kupitia falsafa yake ya 4R, hawezi kabisa kuacha dhulma hii iendelee, unless kama hii 4R ni territorial iko applicable only kwenye baadhi tuu ya maeneo na kwenye maeneo mengine 4R ni just paying lip services!.
  • Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili!
  • Serikali yetu iliyopita, kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na wabobevu, iliwahi kutunga muswada wa sheria wenye kipengele batili, kinachokwenda kinyume cha ibara ya 11 ya katiba ya JMT ya mwaka!. Humo serikali kuna wanasheria wanaojua katiba!, waliwezaje kupeleka muswada wenye batili?.

  • Sasa Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais Jemedari Mwanamke ambaye pia ni Amirati Mkuu (Amiri ni Mwanaume) wa Jeshi letu, Rais Samia Suluhu Hassan, ametuhisania kuibadili sheria ya uchaguzi, kitu cha ajabu ni sheria hii mpya inakuja na muendelezo wa ubatili ule ule!. Tunamshauri Rais Samia ,hili asiliruhusu!.

  • Bunge letu la wakati huo, lenye wabunge makini, lililoshehenezwa na wanasheria manguli, wabobezi na wabebovu, wakaipitisha batili hiyo ikawa sheria! Wanasheria waliopitisha batili hiyo, hawa ni wanasheria wa aina gani?!.

  • Kitu cha ajabu ni Bunge letu hili nalo limeletewa muswada na serikali yetu wenye ubatili!, Bunge likausoma kwa mara ya kwanza hivyo hivyo pamoja na ubatili wake!. Kazi ya Bunge ni nini katika kuisimamia serikali?!.

  • Bunge letu linaletewa madudu na serikali na kuyapitisha madudu hayo hivyo hivyo mpaka lini?.

  • Hili niliwahi kuliulizia humu

  • Mchungaji Mtikila (Mungu amuweke mahali pema peponi) akaipinga sheria hiyo Mahakama Kuu, akashinda, Mahakama Kuu ikatamka sheria hiyo ni batili!

  • Mahakama Kuu ya Tanzania, ndio mamlaka pekee yenye uwezo na mamlaka ya kutamka sheria fulani ni batili!. Sheria yoyote, inapotamkwa tuu na Mahakama Kuu kuwa ni batili, tangu baada ya tamko hilo, ubatili wa sheria hiyo unaanzia hapo hapo, sheria hiyo inakuwa imeisha batilishwa, ni kama haipo ab initio!

  • Sherikali yetu ikakata rufaa kupinga uamuzi wa kuibatilisha sheria hiyo, na wakati huo huo, ikafanya jambo jingine kubwa la ajabu, ambalo mimi nimeliita "madudu", kwa kupeleka kwa hati ya dharura, muswada wa mabadiliko ya katiba, na kuuchukua ubatili huo uliobatilishwa na Mahakama Kuu, na kuuchomekea ndani ya Katiba yetu!. Waliofanya madudu hayo ni serikali yetu ya wakati huo, serikali hiyo iliyokuwa na wanasheria manguli, wabobezi na wabebovu!, hawa ni wanasheria wa aina gani?!

  • Na Bunge letu la wakati huo, likayapitisha madudu hayo hivyo hivyo kama yalivyo, na kuyachomekea ndani ya katiba yetu!. Miongoni mwa wabunge hao, wapo wanasheria manguli, wabobezi na wabobevu!, makalia hizi zinahoji, sisi Tanzania, tuna wanasheria wa type gani, na kujiuliza waliwezaje vipi kufanya madudu makubwa kama haya ya kuchomeka batili ndani ya Katiba yetu, huku tunajinasibu kuwa Tanzania tuna wanasheria manguli, wabobezi na wabebuvu!, hawa wanasheria wetu unguli wao, ubobezi na ubebevu wao ni kwenye nini?!

Leo naendelea na sehemu ya tatu nay a mwisho ya mada ya wiki iliyopita kuhusu haki za kikatiba, zilizotolewa na ibara moja ya Katiba, halafu zikaja kuporwa kwa kuchomekewa ibara nyingine ambayo ni batili, iliyochomekewa kiubatili, ndani ya Katiba yetu!, mambo yote haya ya madudu ya ajabu, yamefanywa na wanasheria wetu ambao ni manguli, wabobezi na wabobevu huku wanasheria wengine wote Tanzania nzima, wamenyamaza kimya wakiangalia wakati katiba yetu inachezewa, inanajisiwa kwa kuchomekewa kinyume cha ... vifungu vyenye ubatili!.

Sasa leo naendelea pale nilipoachia wiki iliyopita, ambapo serikali imeishindwa mara mbili, na ndipo serikali yetu tukufu ya wakati huo ikaanza kufanya sarakasi kama ifuatavyo!

View attachment 2499111View attachment 2499113
1. Baada tuu ya Mtikila kushinda kesi serikali ikafanya mambo mawili makubwa ambayo mimi nayaita ni sarakasi za kisheria!!, kwanza ilikata rufaa kuipinga hukumu ya Jaji Lukakingira!. Pili serikali ilipeleka bungeni kwa hati ya dharura, sheria No. 34 ya mwaka 1994, kufanya marekebisho ya 11 ya Katiba ya JMT na kukichomeka kipengele hicho ndani ya katiba, hivyo kuibatilisha ile hukumu ya Jaji Lugakingira!.

2. Mchungaji Mtikila, licha ya kuwa ni mwanasiasa, Mwenyekiti wa chama cha siasa cha DP, (Democratic Party), lakini alikuwa ni mtu wa Mungu kiukweli kabisa, kwa sababu hakukubali katiba yetu ichezewe, hivyo akafungua kesi nyingine No. 10 ya mwaka 2009 kupinga marekebisho hayo ya 11 ya katiba na kuyaita ni ubatili!.

3. Katika kesi hiyo, Mchungaji Mtikila aliomba mambo 4, lakini kwa ajili ya makala hii, nitayataja mawili tuu, (a) Mahakama itamke ibara 39 na 67 za katiba zilizorekebishwa na marekebisho ya 11 ya katiba kwa sheria No. 34 ya mwaka 1994, ni batili na kinyume cha katiba na (b) Kutamka wazi kuwa kila Mtanzania ana haki ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi kwa mujibu wa ibara ya 21 ya Katiba, bila kulazimishwa kudhaminiwa na chama cha siasa, hivyo mtu anaweza kugombea kama mgombea binafsi.

4. Mahakama Kuu chini ya majaji watatu, Jaji Manento, Masati na Mihayo, wakayakubali mambo yote ya Mchungaji Mtikila na kumpa ushindi tena kwa kutamka marekebisho hayo 11ya katiba ya Tanzania ni batili!.

5. Lakini serikali yetu ya wakati huo, ikakata tena rufaa, na safari hii Mahakama ya Rufani ikakaa Full Bench chini ya majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu mwenyewe wa wakati huo, Jaji Mkuu Agustino Ramadhani, akisaidiwa na Jaji Eusebi Munuo, Jaji January Msoffe, Jaji Natalia Kimaro, Jaji Mbarouk, Jaji Benard Luanda, na Jaji Nasor Mjasir, ambapo tarehe 17 mwezi June, mwaka 2010 ikatoa hukumu.

6. Tena Mahakama haikuwa peke yake, bali iliwaita mabingwa wabobezi watatu wa sheria na katiba kuisaidia, hawa ni wanaitwa marafiki wa mahakama, kwa kiingereza ni friends of the Court, kisheria wanaitwa Amicus Curiae, hivyo ma Amicus Curiae hawa, Mr. Othman Masoud, (baadae akawa Mwanasheria Mkuu Zanzibar, sasa ni Makamo wa kwanza wa rais Zanziibar), Prof. Palamagamba Kabudi, na Prof.Jwan Mwaikusa (Mungu Aiweke Roho yake Mahala Pema Peponi), pia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Alikaribishwa.

7. Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Rufaa uliamua ifuatavyo, hapa naomba ninukuu
“So as to let the will of the people prevail, “We are definite that the Courts are not the custodians of the will of the people. That is the property of elected Members of Parliament”.

8. Hapa Mahakama ya Rufani Tanzania, ilijivua jukumu lake kuu la kuilinda katiba ya JMT. Kama ubatili umefanywa kwenye katiba yetu, kwa serikali yetu kuandaa muswada wa sheria batili unaokwenda kinyume cha katiba, ukaupeleka kwenye Bunge letu, likatunga hiyo sheria batili. Mahakama Kuu yenye jukumu la kutafsiri katiba na sheria, likabatilisha ubatili huo, serikali ikaandaa mabadiliko ya katiba na kulitumia Bunge kuuingiza ubatili huo ndani ya katiba yetu, Mahakama Kuu ikashikilia msimamo kuwa huo ni ubatili, iweje Mahakama ya Rufaa ikalikalia kimya?.

9. Kitendo cha Mahakama kujivua jukumu la kuwa the court is not the custodian of the will of the people!, hakuna will of the people ambayo ni kubwa kuliko katiba!, kama katiba imetoa haki fulani, halafu Bunge likatunga sheria kuifuta haki hiyo, ilitegemewa mahakama kutumia mamlaka yake ya “checks and balance” kulizuia Bunge kuwa haliwezi kutunga sheria inayokwenda kinyume cha katiba!. Mahakama ikatamka haiwezi kuliingilia Bunge!, ile kanuni ya “the doctrine of separation of powers, checks and balance?, iko wapi?.

10. Mahakama Kuu ya Rufaa ikaamua kuwa Mahakama haina mamlaka ya kuliingilia Bunge, katika vipengele vya katiba, kumaanisha kwa vile marekebisho hayo ya 11 yamefanywa na Bunge, hivyo ni Bunge ndio lirekebishe kipengele hicho!. Yaani Bunge litunge sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba, kisha kipengele cha sheria hiyo batili kikachomekewa ndani ya katiba kwa mabadiliko ya katiba kwa hati ya dharura!. Mahakama Kuu inasema huu ni ubatili, Mahakama ya Rufaa inasema “hatuwezi kuliingilia Bunge!, sarakasi zote hizi zinafanyika vipi Tanzania hii huku tuna wanasheria, manguli, wabobezi na wabobevu?.

Hitimisho:
Kama serikali yetu, imetunga sheria batili, inayopora haki ya msingi ya kikatiba, Bunge letu likaipitisha sheria hiyo, Mahakama Kuu, ikatamka huo ni ubatili, lakini Mahakama ya Rufaa, ikaunyamazia ubatili huo, na kulitaka Bunge ndio liuondoe, Watanzania waende wapi ili kuidai haki yao hii!. Tumaini la pekee ni moja tuu!, Mama Samia!.

Tena kiukweli kabisa Mwenyezi Mungu, anaipenda sana Tanzania, kwanza kwa kutuletea Rais Magufuli kuja kuinyoosha nchi yetu hii, na baada ya kunyooka, Magufuli mwendo akaumaliza, sasa kwa upendo mkuu wa Mungu kwa Tanzania,ametuletea Mama Samia, mtu ambaye ni mpenda haki, msema haki, na mtenda haki, ameisha onyesha dalili ya kuwatendea haki Watanzania!,

Niliamini uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, haki hii itarejelezwa

Tatizo kuu la chaguzi zetu kutokuwa huru na za haki, liko kwenye katiba ambapo haki zimetolewa kipengele kimoja cha katiba na kuporwa na kipengele kingine kilichochomekewa kwenye katiba kiubatili, hivyo ili uchaguzi wa serikali za mitaa na uchanguzi mkuu ujao uwe huru na wa haki, kwanza lazima tufanye minimum reforms za katiba yetu ya mwaka 1977 tuzirudishe haki zilizoporwa.

Naamini Mama ni msikivu, zile 4R zake is not paying lip services!.

Mungu Mbariki Rais Samia Ayaweze

Mungu Ibariki Tanzania

Waslaam

Paskali
 
Hakuna kiongozi hapa ni bomu Tena la kienyeji, watanganyika kazi kwenu 2025
 
Mama alishasema kuwa katiba ni kijitabu,Kwaiyo tusitegemee sana!
Tubaki na kauli ya Bwana Rostam kuwa Kiongozi wa serikali anaweza kupiga simu Mahakamani na mambo yakabadirika!
 
Rais Samia japo yeye sii mwanasheria, lakini anaijua vema Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ya kuwa Katiba ni Sheria Mama yenye haki zote ndani ya JMT. Je aruhusu haki za kwenye katiba yetu zilizoporwa na awamu zilizopita, ziporwe tena na awamu yake? au atumie ile falsafa yake ya 4R kuzirejesha?.

Hitimisho:
Kama serikali yetu, imetunga sheria batili, inayopora haki ya msingi ya kikatiba, Bunge letu likaipitisha sheria hiyo, Mahakama Kuu, ikatamka huo ni ubatili, lakini Mahakama ya Rufaa, ikaunyamazia ubatili huo, na kulitaka Bunge ndio liuondoe, Watanzania waende wapi ili kuidai haki yao hii!. Tumaini la pekee ni moja tuu!, Mama Samia!.

Tena kiukweli kabisa Mwenyezi Mungu, anaipenda sana Tanzania, kwanza kwa kutuletea Rais Magufuli kuja kuinyoosha nchi yetu hii, na baada ya kunyooka, Magufuli mwendo akaumaliza, sasa kwa upendo mkuu wa Mungu kwa Tanzania,ametuletea Mama Samia, mtu ambaye ni mpenda haki,
Tatizo kuu la chaguzi zetu kutokuwa huru na za haki, liko kwenye katiba ambapo haki zimetolewa kipengele kimoja cha katiba na kuporwa na kipengele kingine kilichochomekewa kwenye katiba kiubatili, hivyo ili uchaguzi wa serikali za mitaa na uchanguzi mkuu ujao uwe huru na wa haki, kwanza lazima tufanye minimum reforms za katiba yetu ya mwaka 1977 tuzirudishe haki zilizoporwa.

Naamini Mama ni msikivu, zile 4R zake is not paying lip services!.

Mungu Mbariki Rais Samia Ayaweze

Mungu Ibariki Tanzania

Waslaam

Paskali

Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
 
[/B][/B][/HEADING]
[*]

Sasa Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais Jemedari Mwanamke ambaye pia ni Amirati Mkuu (Amiri ni Mwanaume) wa Jeshi letu, Rais Samia Suluhu Hassan, ametuhisania kuibadili sheria ya uchaguzi, kitu cha ajabu ni sheria hii mpya inakuja na muendelezo wa ubatili ule ule!.
Hitimisho:
Kama serikali yetu, imetunga sheria batili, inayopora haki ya msingi ya kikatiba, Bunge letu likaipitisha sheria hiyo, Mahakama Kuu, ikatamka huo ni ubatili, lakini Mahakama ya Rufaa, ikaunyamazia ubatili huo, na kulitaka Bunge ndio liuondoe, Watanzania waende wapi ili kuidai haki yao hii!. Tumaini la pekee ni moja tuu!, Mama Samia!.

Tena kiukweli kabisa Mwenyezi Mungu, anaipenda sana Tanzania, kwanza kwa kutuletea Rais Magufuli kuja kuinyoosha nchi yetu hii, na baada ya kunyooka, Magufuli mwendo akaumaliza, sasa kwa upendo mkuu wa Mungu kwa Tanzania,ametuletea Mama Samia, mtu ambaye ni mpenda haki, msema haki, na mtenda haki, ameisha onyesha dalili ya kuwatendea haki Watanzania!,

Niliamini uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, haki hii itarejelezwa

Tatizo kuu la chaguzi zetu kutokuwa huru na za haki, liko kwenye katiba ambapo haki zimetolewa kipengele kimoja cha katiba na kuporwa na kipengele kingine kilichochomekewa kwenye katiba kiubatili, hivyo ili uchaguzi wa serikali za mitaa na uchanguzi mkuu ujao uwe huru na wa haki, kwanza lazima tufanye minimum reforms za katiba yetu ya mwaka 1977 tuzirudishe haki zilizoporwa.

Paskali

Vikao vya Bunge vinaendelea jijini Dodoma kutunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule!.
Tutaendelea kulinyamazia Bunge letu Tukufu likitutungia sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba ya JMT mpaka lini?.
P
 
Back
Top Bottom