Waitara awataka Upinzani wahamie CCM

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.

"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara

Nini maoni yako?
 
Si yupo nao CCM akina Halima
 
Huyu mlevi mbwa analewa hadi anajikojolea ni wa kupuuzwa tu na huo ubunge ajue ndiyo lala salama kwake harudi tena
 
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.

"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara

Nini maoni yako?
Huu ubinafsi ndo Sera ya CCM? Mbunge anawaza viyoyozi badala ya maendeleo ya watu wake? Yaani CCM ipo Kwa ajili ya wachache kunufaika Kwa Ubunge wa kubebwa? Hapa utawaona Chawa wanasifu ujinga wa huyu Mbugila.
 
Kura za maoni Tarime vijiji kupitia CCM hutanusurika!!
 
Huu ubinafsi ndo Sera ya CCM? Mbunge anawaza viyoyozi badala ya maendeleo ya watu wake? Yaani CCM ipo Kwa ajili ya wachache kunufaika Kwa Ubunge wa kubebwa? Hapa utawaona Chawa wanasifu ujinga wa huyu Mbugila.
Mbunge haleti maendeleo, amka bwashee.
 
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.

"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara

Nini maoni yako?
🤣🤣🤣💭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom