Ninatarajia kununua dhahabu ya Tshs.500 millioni na kuiweka kama fixed deposit katika Benki yeyote tutakayokubaliana nayo. Je huu utaratibu unakubalika?. Na je huu utaratibu una madhara...
MBUNGE CHEREHANI - KATA 11 JIMBO LA USHETU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA
Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia...
Waziri wa Uchumi na Mbunge wa Ubungo amewatangazia Wapigakura wake Kuwa kupitia Tanroads wamesaini mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Kimara- Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi na Kampuni ya Nyanza
Prof...
Salaam,Shalom.
Matatizo ya Wananchi ni ya kimfumo, hivyo chama Cha MAPINDUZI CCM kisipoteze muda kujaribu kuhadaa wananchi kuwa kinaweza kutatua kero za wananchi katika ziara majukwaani kana...
ULIMWENGU ni jukwaa la mateso kwa watu huru kifikra. Wenye kutumia akili zao kupokea, kutafsiri na kujenga hoja. Wanaounda mitazamo na misimamo baada ya kujiridhisha kwa tafakuri binafsi.
"The...
2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha...
Niko Dar es salaam hapa tangu Royal Tour itoke. Sijawahi kusikia mtu yeyote au kikundi cha watu mtaani wakihadithia filamu ya Royal Tour.
Mimi mwenyewe sijawahi kuiona, only kwenye vi clip vya...
Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Watoto Kumbusho Dawson amewasilisha Ombi la Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar, kesi hiyo ya namba 2212 ya mwaka 2024 itatajwa kwa mara ya kwanza...
Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa.
Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme...
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e)...
Habari,
Kama wabunge wameshindwa kutatua matatizo madogodogo ya wananchi na kumwachia muenezi Makonda.
Kuanzia ma DC, watendaji wa halmashauri wote wamemwachia Makonda.
Je, sisi tunathamani ipi...
Ni mtu Mwenye Akili tu ndio ataelewa thamani ya kuwa raia wa Dunia ya kwanza kama Marekani
Kibongo bongo Mtoto anarithishwa Ubunge ndio kilele cha mafanikio
Tundu Antipas Lisu apewe maua yake...
Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding)
kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi...
Huu ni ukweli ambao kuna watu Hawapendi kuusikia sio kwamba Samia hastahili Bali Kwa sababu wanaona wivu 😁😁
Aliyepewa kapewa,maneno machache kishindo kikubwa.👇👇
"Duniani heshma ya Rais Daktari...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema ataishawishi Serikali na Uongozi wa juu mara baada ya kukamilika kwa stendi mpya Iringa ili ipewe jina la aliyekuwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini .
Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku...
Makamu mwenyekiti wa chadema mh Tundu Lissu akiongea na diaspora wa Tanzania waishio Marekani kwenye suala la uraia pacha amegusia kuhusu maisha ya watoto wake wawili wanaosoma vyuo vikuu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.