Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
...Yule Aliyepangiwa na Mungu!. Wanabodi, 2015 ndio hii, mimi ni miongoni mwa tuliojibainisha wazi, kumkubali Edward Lowassa as "The One and Only" Best President this country can ever have apart...
23 Reactions
172 Replies
35K Views
Kumekuwepo na mfululizo wa watu ambao ni makada wa CCM kuikosoa mahakama ambao unapaswa kuwa mhimili wa kutoa haki katika nchi za kidemokrasia. Kauli ya hivi karibuni ya Makonda kuhusu utendaji...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
Waziri wa Tehama ndugu Nape amesema Mapinduzi ya Tehama ambapo Akili bandia zitapunguza Ajira hayakwepeki ila tuyachukulie kama Fursa Nape amesema ni Wakati sasa bunge kutunga sheria ya...
1 Reactions
9 Replies
618 Views
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo. Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally. Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo...
44 Reactions
3K Replies
446K Views
TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na...
1 Reactions
11 Replies
639 Views
Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Unaambiwa Joto la Maandamano ya Amani ya tarehe 15 /02/2024 yatakayofanyika Jijini Mwanza limepanda kwa kiasi ambacho Vipima joto vimeshindwa kulisoma. Taarifa za sasa zinadokeza kwamba wadau...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
17 Reactions
177 Replies
30K Views
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji Sasa nakutonya, uko kwenye...
24 Reactions
66 Replies
5K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State...
1 Reactions
3 Replies
715 Views
  • Poll Poll
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa? Jibu Ndio/Hapana/Sijui Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na...
7 Reactions
697 Replies
64K Views
Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa...
27 Reactions
166 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara ,Jabali la siasa,mtetezi na Sauti ya wanyonge ametoa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanabodi, Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00...
5 Reactions
144 Replies
13K Views
Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani. Kikwete aliyasema hayo...
6 Reactions
887 Replies
108K Views
Ni msemo, kwenye maisha, ukiona watu wako wa karibu mliokuwa pamoja tangu enzi za ujana na utafutaji na struggle za kutoboa kwenye maisha wanadondoka kwa mfululizo Jua muda sio rafiki and it...
17 Reactions
29 Replies
2K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 huku akisisitiza kuwa kwa vyovyote vile...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom