Prof Kitila Mkumbo: Ubungo tumesaini na Nyanza CC Ujenzi wa barabara ya Kimara- Mavurunza- Bonyokwa- Kinyerezi, CCM oyeee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,003
Waziri wa Uchumi na Mbunge wa Ubungo amewatangazia Wapigakura wake Kuwa kupitia Tanroads wamesaini mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Kimara- Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi na Kampuni ya Nyanza

Prof Kitila Mkumbo amewataka Wananchi wa Ubungo washirikiane kwa Maendeleo Makubwa yanayokuja jimboni

Sabato Njema 😄
 
Sabato Njema
Hakuna mwanachi wa Ubungo alimpa kura yake,2025 aende kwao Iramba wakamalizane na Lameck Madelu.
 
Waziri wa Uchumi na Mbunge wa Ubungo amewatangazia Wapigakura wake Kuwa kupitia Tanroads wamesaini mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Kimara- Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi na Kampuni ya Nyanza

Prof Kitila Mkumbo amewataka Wananchi wa Ubungo washirikiane kwa Maendeleo Makubwa yanayokuja jimboni

Sabato Njema 😄
Anakumbuka shuka wakati ni asubuhi? Kaona uchaguzi unakaribia huyu
 
Wakati wenzetu mnalilia Lami Huko bonyokwa Sisi huku mbagala-chamazi-msongola-kitonga Hadi chanika inapigwa njia 4.
Maandalizi ya afcon 2027 yaanaanza njia hii kutokana na uhitaji wake wa kiwanja cha Azam complex,kiwanja hiki kitatumika kama uwanja wa mazoezi Kwa timu mbili(nchi mbili)
 
Ni jambo jema 😄
 
Back
Top Bottom