Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,153
2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini.

Baadaye ukakana huyatambui.

Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama kawaida yako mtu mwovu unayependa laana kuliko baraka.

Eti mtu anayekwepa Kodi ya bilioni 1.2 anawakaripia wakurugenzi na mawaziri.

Philip Mpango alisimama katika haki makontena yako yakasombwa na maji.

Tuliona magari ndani ya makontena na vitu ambavyo havina uhusiano na wanafunzi.
 
Kama hamna ajenga nyie Mafisadi ,Mazembe na mko kwenye ofisi za Umma lkn mnakosa uzalendo na utu kwà watu maskini hawa.Mwacheni Makonda awafute machozi watu hawa wanyonge wanateseka sana kwà sababu yenu.
Nyie ni wajinga. Fisadi wa kwanza ni huyu Makonda. Alipora watu nyumba, magari na kukwepa Kodi.
Lakini kwakuwa mumerogwa hata akiwaeeka ndizi kunako mtasema meacheni anatafuta mafisadi
 
Makonda anachonikera ni kuipigania CCM ya wahuni .
Vinginevyo Makonda ni Mtu sahihi sana Kwa Nchi hii iliyojaa rasilimali nyingi na kuhujumiwa na wageni na MAWAKALA WAO.
MAKONDA HATA AKIWA NA KASHFA NYAINGI BADO ANAFAA KUSIMAMIA RASILIMALI NA WATENDAJI WAHUNI WALIOJAZANA KWENYE OFISI ZA UMMA NA Ndani ya CCM.
Kama CCM Iko tayari kufanya mabadiliko basi ni lazima waondoe WAHUNI wanaouza mali za UMMA Kwa WAHUNI kutoka nje ambao wamekua ni marafiki zao na ndugu zao kuliko watamzania wanyonge.

Makonda ni chaguo la wazalendo bila kujali chochote .
Tunamtaka mtu anayeweza kuwawajibisha WAHUNI .
Serikali iliyopo ni wakala wa wageni kuhujumu Nchi hii Kwa kiwango Cha juu sana kuliko wakati mwingine wowote kuwahi kutokea
 
Kwa mujibu wa ukurasa wako ni ruksa kufanya ufisadi ilimradi tu baadaye usimamie vyema kwenye kuwamopesha mafisadi wengine?
Kumbuka hata hao watumishi unaowaita mafisadi ndio wanaosimamia miradi mbalimbali mpaka inakamilika.
 
Makonda anachonikera ni kuipigania CCM ya wahuni .
Vinginevyo Makonda ni Mtu sahihi sana Kwa Nchi hii iliyojaa rasilimali nyingi na kuhujumiwa na wageni na MAWAKALA WAO.
MAKONDA HATA AKIWA NA KASHFA NYAINGI BADO ANAFAA KUSIMAMIA RASILIMALI NA WATENDAJI WAHUNI WALIOJAZANA KWENYE OFISI ZA UMMA NA Ndani ya CCM.
Kama CCM Iko tayari kufanya mabadiliko basi ni lazima waondoe WAHUNI wanaouza mali za UMMA Kwa WAHUNI kutoka nje ambao wamekua ni marafiki zao na ndugu zao kuliko watamzania wanyonge.

Makonda ni chaguo la wazalendo bila kujali chochote .
Tunamtaka mtu anayeweza kuwawajibisha WAHUNI .
Serikali iliyopo ni wakala wa wageni kuhujumu Nchi hii Kwa kiwango Cha juu sana kuliko wakati mwingine wowote kuwahi kutokea
Duh! Hatari sana
 
Mkuu, unaamini kabisa kwa yale maigizo ya majukwaani kwamba Makonda anawajibisha watu?
 
Hakuna mwanasiasa msafi hata mmoja lakini ccm wamezidi kwa uchafu na ufisadi ni tabia yao ya asili kabisa, huwezi kutenganisha ufisadi, uhalifu na ccm kwa namna yoyote ile, hata hawa wapinzani wanaopiga kelele kila siku wakipewa nafasi yatakua yale yale tuu, mwanasiasa wa ccm ambae alikua hana tabia walizo hawa wahalifu ni Mwalimu Nyerere peke yake
 
Huyo mtu si muadilifu hata kidogo tatizo watz wengi sio watu conscious yaani akili si imara kuweza kupambanua mambo ndani ya muda mrefu.
Mambo yahovyo aliyofanya nimengi lkn plezdaa kaingiza muhali na kulazimisha awe kiongozi kisa aliwahi kumtabiria uongozi!! Ni aibuu
 
Back
Top Bottom