Uchaguzi wa CHADEMA Mbeya Mjini ni moto, John Mwambigija Maji ya Shingo, akabiliwa na Ushindani mkali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,711
218,260
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini .

Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa , Wafanyabiashara wameonekana wakisitisha biashara zao kwa muda ili kujipa muda wa kutafakari Uongozi mpya wa CHADEMA kwenye eneo lao .

Watu ni wengi mno na kwa kweli shamrashamra ni kabambe sana

Screenshot_2024-02-09-14-59-57-1.png

Usiondoke JF , Kuna uhondo mwingi sana unakuja
 
Viongozi wa Chadema

Screenshot_20240209-152657.png

Ukweli ulivyo

20240209_152947.jpg

Kuwachagua Chadema ili wawe viongozi wako inahitaji itokwe na akili kama hv tuu hawezi kuwa na uhakika wa taarifa anazoweka vp akipata madaraka.?
 
Chama Cha Kitapeli, Mbumbumbu, Wala unga, walevi, mashetani

Sema Nini Chadema nawafananisha na wahaya wa mwananyamala
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini .

Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa , Wafanyabiashara wameonekana wakisitisha biashara zao kwa muda ili kujipa muda wa kutafakari Uongozi mpya wa CHADEMA kwenye eneo lao .

Watu ni wengi mno na kwa kweli shamrashamra ni kabambe sana

View attachment 2898709

Usiondoke JF , Kuna uhondo mwingi sana unakuja
Jinsi unavyojua kuripoti upewe maua yako eti wametoroka kwa kisingizio cha ibada ya ijumaa 🤣 🤣
 
Najuwa wewe siku zote unampiga vita sana mzee wa upako kwa sababu amekataa uhuni , ubabaishaji na udalali wa siasa wa sugu,mch msigwa ,china wa china na genge lake.
 
Ccm gan wewe chawa wa Mbowe

Ushaachana na Mafuwe kule Hai ?

Bwege kweli
Kati ya wabunge werevu na wanaojiona anajua, anaweza Kila kitu na hajui ni huyo uliyemtaja.

Ukikutana naye Kila saa anasema tumeletewa Trilioni 2,impact yake Kwa jamii haonekani.

Huko jimboni kwake wanataka kuchagua jiwe kuliko yeye.

Anamtegemea Doto Kila kitu ila term hiyo atashika mayoa.
 
😆😆😆😆
 
Chama Cha Kitapeli, Mbumbumbu, Wala unga, walevi, mashetani

Sema Nini Chadema nawafananisha na wahaya wa mwananyamala
Ccm ni lichama la kipumbavu linalohitaji wajinga kulichagua eti leo bashite anazunguka kuhadaa wajinga kama yeye huku bunge zima ni ccm ni mpumbavu pekee wa kuyachagua matapeli ya ccm.
 
Back
Top Bottom