Makonda ni luku ya Tanzania; CHADEMA wamekubali mziki wake

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi

(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk

Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.

Nzengeli wa Kakonko
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ulichokiandika hapa ni 🚮 kwa 💯%
.
 
Yaani cdm wamkubali huyo muhalifu?
 
Makonda amevuruga ziara fake za Mbowe ambaye alizianza Kwa mbwembwe na kuwananga Akina mwabukusi na slaa
 
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi

(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk

Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.

Nzengeli wa Kakonko
Kabende wewe ni Hafidh Konkon wa Kakonko... Taifa mmechoka kuchezewa na nani!? CHADEMA😁Yaani mnajitekenya na kucheka Kwa jasho! Wewe kama Mtumishi wa Umma Mwandamizi , unashangilia jinsi Watanzania wanavyopumbazwa na approach za utatuzi wa changamoto za Makonda! Hiki ndicho Prof. Chachaghe alikiita Collective Imbecilization ... Yaani hata wasomi wameingizwa kwenye huu Uchawa....!
Hata hivyo hakuna ujinga wa kudumu! AchaMakonda azidi kuwapoteza kina Lissu na Mbowe ...!
 
Si urudi tu Burundi ukafanye Siasa huko kwenu acheni kuiba majina ya Kisukuma.
Namfahamu tangu akiwa mdogo mi nilipokiwa nafanya kazi UN kule Kigoma na Katavi. Kuna kipindi alikiwa anaishi kambi ya Wakimbizi Mishamo kule katavi. Ni mkimbizi huyo japo anajiita Muha na sasa yupo Kakonko. Kuna kipindi alikuwa anajifanya kulima maparachichi kule kigoma. Hana lolote anatafuta Kiki na kujulikana tu huyu.
 
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi

(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk

Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.

Nzengeli wa Kakonko
🤣🤣🤣🎤🔊
 
Ccm imejaza wajinga ndio maana mnaona makonda/bashite kwenu ni dili, muulize huyo Makonda toka aanze maigizo yake kwanini umeme kila siku unakatika, kwanini bei ya sukari iko juu, kwanini akina mama wanaenda na vifaa vya kujifungulia hospital.
Wewe chawa wa makonda mwambie huyo makonda kuwa huku kanda ya ziwa mkipata hata robo ya kura mkatambike.
 
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi

(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk

Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.

Nzengeli wa Kakonko
Makonda ni mkwepa kodi, ushahidi anao Dkt Philip Mpango.

Makonda ni mtekaji, ushahidi anao Roma Mkatoliki.

Makonda ni muuaji, ushahidi anao Godbless Lema

Makonda ni jambazi na mvamizi, ushahidi wanao Clouds media.
 
Back
Top Bottom