Waziri Jafo: Heshima ya Rais Samia Duniani ni kubwa sana

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,083
49,787
Huu ni ukweli ambao kuna watu Hawapendi kuusikia sio kwamba Samia hastahili Bali Kwa sababu wanaona wivu 😁😁
Aliyepewa kapewa,maneno machache kishindo kikubwa.πŸ‘‡πŸ‘‡
"Duniani heshma ya Rais Daktari Samia Suluhu Hassan ni kubwa sana,... Tukiwa kwenye Mikutano mbalimbali inafika wakati watu wana scramble (wanagombea) kwaajili ya kupata picha na Rais Samia Suluhu Hassan." -Waziri Dkt. Seleman Jafo, Bungeni Feb. 9, 2024.alisema Waziri Jafo

Kuna wale hujifanya ni waumini sana ila Sasa hawajawahi pata mualiko na Mkuu wa Wao ila kapata Samia ambae sio wa dini Yao.πŸ‘‡πŸ‘‡

- Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili
 
Huu ni ukweli ambao kuna watu Hawapendi kuusikia sio kwamba Samia hastahili Bali Kwa sababu wanaona wivu 😁😁
Aliyepewa kapewa,maneno machache kishindo kikubwa.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/Taifahuru_/status/1755995029112258722?t=aLoRnqrpJJEAN3izwph_yg&s=19

Uthibitisho wa Kauli ya Jafo

Kuna wale hujifanya ni waumini sana ila Sasa hawajawahi pata mualiko na Mkuu wa Wao ila kapata Samia ambae sio wa dini Yao.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1755991669890036185?t=ih3VBUI002yK10LYrh4Dwg&s=19

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1755991807681241499?t=EfkB09uu8wObbkNyxckKCQ&s=19

Kupiga picha na mtu ndio heshima au kumbukumbu ya kushuhudia kituko?
 
Kwa Biden alikaa siku ngapi na alionana na nani ? Nadhani hii haijawahi kutokea kwenda nchi za watu wewe kama Head of State na kukaa huko siku lukuki wala Kiongozi mwenzako hata usikutane nae....

Anyway to each his/her own binafsi ningeridhika hata kama watu wangekimbia kupiga nae picha ila Umeme na Huduma za Kijamii zikawa sawa sawia (after all hicho ndio tunamlipa ahakikishe anakifanya)
 
Akitoka madarakani hutatamani kushadadia utopolo ulioubandika hapa jinsi atakavyosulubiwa kwa tuhuma nzito mpaka itabidi aende Oman kupumzika kwa siku zisizojulikana-chukua hilo
Samia hajawahi kuwa na tuhuma kabla na hata baada.

Wale wengine ndio Wana tuhuma sio Samia ni muadilifu.
 
Aisee. Hilo nalo nilakuongea kwenye kadamunas kweli kama kiongozi? Au uchawa tu.

Taifa linachangamoto lukuki zunahitaji utatuzi. Vipi kama tukijikita kama taifa kuongeza jitihada za kupambana na umasikini. Huduma za kijamii miundombinu na utawala bora kwa jamii bora iliyopo na ijayo.

Zaidi ya hapo itatuchukua mika mingi kujitambua na kufikia maendeleo kama taifa
 
Hahah mbona hajaalikwa Davooos ? besides I will be careful kama wazungu na watu weupe wanataka kupiga picha na black woman.

nijuavyo wazungu na watu weupe kwa ujumla hata waarabu au wachina dont like black people au tuseme wanadharau black people …
 
Davos alimtuma VP
 
Back
Top Bottom