Viongozi wengi huwarithisha Watoto wao Siasa za bongo za Kifisadi lakini Tundu Lisu kawarithisha Wanawe Uraia wa Marekani, kongole Kwake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,136
Ni mtu Mwenye Akili tu ndio ataelewa thamani ya kuwa raia wa Dunia ya kwanza kama Marekani

Kibongo bongo Mtoto anarithishwa Ubunge ndio kilele cha mafanikio

Tundu Antipas Lisu apewe maua yake, Watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa siyo Kuzamia

Mlale unono 😀

Kwenu Sea Boys Magomeni
 
Na ndio mana anaendelea kukupangien tarehe za mandamano kukicha anajua kizazi chake hakipo tz ndio sasa naona tyr mmesha anza kushtuk sasa wajinga ndio waliwao
 
..Mzee Mwinyi kumrithisha mwanae Uraisi sio kuwafanya wana-Ccm na Wazanzibari mazuzu?

..Na kuna Wazanzibari wameuwawa 2020 ili kulinda wizi wa kura ili Husseni aingie madarakani.
 
Baadhi ya wanaotokea sngd ni washamba tu.

Uraia wa marekani una faida gani' sehemu yenye ubaguzi wa rangi uliojificha

Pili unataka kuwa kiongozi angali huna uchungu na nchi yako maana uzao wako upo nje!

Tatu siku wakikosa Ajira huko watarudi kuja kuomba uraia I'li waweza kugombania ubunge kama baba yao?

Mwisho Namkubali kwa misimamo yake Sina chuki naye kabisa ila Kutokana nchi yako sio fair basi na mali na mashamba alio nayo bongo wasinufaike navyo maana sio nchi yao.
 
Duh! Jionee huruma. Watoto wa Lissu watapata elimu bora USA na kesho watarudi kują kuwa viongozi wa mashirika na mishahara ya mamilioni.

Wewe mwenye wivu na chuki endelea na chuki żako
 
Ni mtu Mwenye Akili tu ndio ataelewa thamani ya kuwa raia wa Dunia ya kwanza kama Marekani

Kibongo bongo Mtoto anarithishwa Ubunge ndio kilele cha mafanikio

Tundu Antipas Lisu apewe maua yake, Watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa siyo Kuzamia

Mlale unono 😀

Kwenu Sea Boys Magomeni
anawarithisha upuppet 🐒
 
Mtoto mmoja wa Nama Samia alizamia UK. Kwasababu ni mjinga Huwezi hata kujua.

Mawaziri wengi wa TZ wana watoto nje ya nchi. Ika kwa ujinga wako Huwezi kujua.
kuna jambo nilihitaji kukuelewesha lakini naona umekuja na lugha ya kebehi ndugu
 
Baadhi ya wanaotokea sngd ni washamba tu.
Uraia wa marekani una faida gani' sehemu yenye ubaguzi wa rangi uliojificha
Pili unataka kuwa kiongozi angali huna uchungu na nchi yako maana uzao wako upo nje!
Tatu siku wakikosa Ajira huko watarudi kuja kuomba uraia I'li waweza kugombania ubunge kama baba yao?
Mwisho Namkubali kwa misimamo yake Sina chuki naye kabisa ila Kutokana nchi yako sio fair basi na mali na mashamba alio nayo bongo wasinufaike navyo maana sio nchi yao.

..uzalendo wa mtu kwa nchi yake haupimwi kwa kuangalia uraia wa watoto wake.

..hata hao watoto kuwa raia wa Marekani isichukuliwe kwamba hawana mapenzi na Tanzania.

..wachukulie hao watoto kama mtu aliyezaliwa mkoa mmoja lakini akahamia mkoa mwingine kutafuta kazi na maisha. Haimaanishi kwamba mhusika hana mapenzi na kule alikozaliwa na kukulia.
 
Waliozaliwa Nje ya Tanzania ni Wazalendo zaidi kuliko Wagogo 🐼
 
Ni mtu Mwenye Akili tu ndio ataelewa thamani ya kuwa raia wa Dunia ya kwanza kama Marekani

Kibongo bongo Mtoto anarithishwa Ubunge ndio kilele cha mafanikio

Tundu Antipas Lisu apewe maua yake, Watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa siyo Kuzamia

Mlale unono 😀

Kwenu Sea Boys Magomeni
Halafu kuna marofa wanaamini kuwa Lissu nimkombozi wa watanganyika,watoto wake wanauraia wa Marekani wanasoma huko Marekani,halafu yuko kwenye majukwaa anahamashisha watoto wa watu wakaandamane, wakati wakwake wako Marekani, ndio maana Mkapa aliwaita chadema marofa.
 
Baadhi ya wanaotokea sngd ni washamba tu.

Uraia wa marekani una faida gani' sehemu yenye ubaguzi wa rangi uliojificha

Pili unataka kuwa kiongozi angali huna uchungu na nchi yako maana uzao wako upo nje!

Tatu siku wakikosa Ajira huko watarudi kuja kuomba uraia I'li waweza kugombania ubunge kama baba yao?

Mwisho Namkubali kwa misimamo yake Sina chuki naye kabisa ila Kutokana nchi yako sio fair basi na mali na mashamba alio nayo bongo wasinufaike navyo maana sio nchi yao.
Kwa hiyo watoto wako kuzaliwa na kuishi namtumbo ndo kuipenda nchi Yako? Hivi ccm mbona mabumunda mengi hivi? Yaani jitu linapumua lakini Hadi Leo halijui umuhimu wa kuwa raia wa first world country? Khaaa! Ushamba umechanganyika na ujinga, ukosefu wa elimu umeonesha ujinga wa level ya SGR sawa we subir t-shirt na kofia kijani na njano 2025 nyambafu
 
Back
Top Bottom