Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JAMBO AMBALO NAWASHANGAA SANA WAPINZANI, WAPINGA WATU, WAPINGA MAENDELEO NI KUTOJUA KANUNI YA DUNIA (360") Na Comrade Ally Maftah Leo nainua juu kalamu yangu na kuishusha kwenye mitandao ya...
0 Reactions
7 Replies
690 Views
"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha. Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima...
2 Reactions
142 Replies
23K Views
Makonda ameandika Instagram yake: “Naunga mkono hoja ya Kamati Kuu kuchunguza mwenendo wa baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi wanaolipaka tope Jeshi hilo kwa kuwalinda wafanyabiashara matapeli...
15 Reactions
87 Replies
9K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili. Taarifa zinazofichwafichwa...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia tarehe 8-9 February, 2024. Mh. Duja...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo hii Mheshimiwa Paul Christian Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameacha gumzo mkoani Songwe katika wilaya ya Mbozi, mji mdogo wa Mlowo...
8 Reactions
205 Replies
12K Views
Nikiwa kijiji kwangu huku njilinji nikiendelea na shughuli za kilimo nimeshtushwa na taarifa ya kifo cha Mh. Benard Membe (kachero mbobezi) natuma salamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki...
30 Reactions
112 Replies
14K Views
Anazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu. Lakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu, ambao umeona...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mh magufuli amemchagua bi samia suluhu kuwa mgombea mwenza kwa kuzingatia uswa wa kijinsia, uzanzibar na kubalance chama kupata kura upande wa zanzibar....vuai hussein mwinyi bilal kwaher...ila...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Ni kawaida na Maadili ya Binadamu wote duniani kuamini Penye Mama hapakosi neno. Hata ktk ngazi ya Familia ukirudi nyumbani ukamkuta Baba na aliyerudi nyumbani akamkuta Mama basi Rewards zinakuwa...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
Kwaheri January Makamba, ila tutakukumbuka kwa kufanikisha suala la mifuko ya plastic. Yeye asema ameyapokea Mabadiliko kwa moyo mweupe: Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo...
69 Reactions
1K Replies
144K Views
- Vua Nahodha - Hussein Mwinyi - Saada Mkuya Mnatoa hoja kwa utulivu na mna-stick to the point! Asanteni kwa Kutuwakilisha waZanzibar - Kasheshe Kutoka Bububu
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mh. Rais, kiwanda cha karatasi kilichopo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa kiitwacho Mufindi paper mills LTD (MPM) zamani Southern Paper Mills (SPM) kilichokuwa kinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau.leo nimemsikiliza kama wa dar hakika sijamuelelewa na kama tungekuwa na uongozi makini alipaswa kutenguliwa mala moja. Sijuhi elimu yake lakini ni aibuuu ni bora asingejitokeza...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,-MZIGO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora) Ndugu George Mkuchika, Mb.,- SIJUI Waziri wa Nchi...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni rahisi kumnyooshea waziri kidole pale wananchi wanapolalamika lakini mchango wa waziri katika matatizo unapimwaje? Tunapima watendaji kwa kauli za wananchi au baada ya kutathmini mfumo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Naibu waziri ( Tamisemi) Dr Festo Dugange aliyepata Ajali ya gari na kuvunjika kidole miezi 3 iliyopotea leo amerejea Ofisini na kupokelewa kwa tabasamu na tashwishwi na Watumishi wa Wizara Mungu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam,Shalom!! Nimekuwa mfuatiliaji wa mada nyingi anazoandika Mtoto wa Mwalimu, Ndugu Andrew Nyerere. Kuelewa anachokiandika au kukisema, unahitaji akili ya ziada kutafuta Maarifa ya kufungua...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari Wakuu! Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda) Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom