Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,989
7,096
Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
 
Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
Zingatia: Kwa udini alionao hawezi hata kupita Vetting ya kuwa Mtendaji wa Kijiji.
 
Hii nchi inahitaji ukoloni kwa mara ya pili, ndiyo sasa tutakuwa na uwezo wa kujitawala.
 
Back
Top Bottom