Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa. Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile . CHADEMA ni kama Jeshi, hakuna kamanda yeyote...
22 Reactions
75 Replies
6K Views
Hili ni swali tu kwa wale wanaohusika na Utoaji wa vibali vya Maandamano Kama ni kero wote tumeshuhudia Makonda akizikusanya na kama ni sheria za Uchaguzi Chadema walishapeleka malalamiko yao UN...
0 Reactions
6 Replies
588 Views
Mfano mdogo leo hii Makonda, anazunguluka nchi nzima, kuwauliza watu matatizo yao, matatizo ambayo yamesababisha na serikali , serikali ambayo inasimamiwa na chama chao, yani mfano. Wake ,mwizi...
5 Reactions
20 Replies
977 Views
HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70 Key Take Away: NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini... Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani)...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hapa sasa ndio tutaelewa kama Mahakama ina nguvu kweli au ni porojo tu .
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
0 Reactions
9 Replies
597 Views
Ninatarajia kununua dhahabu ya Tshs.500 millioni na kuiweka kama fixed deposit katika Benki yeyote tutakayokubaliana nayo. Je huu utaratibu unakubalika?. Na je huu utaratibu una madhara...
2 Reactions
1 Replies
585 Views
MBUNGE CHEREHANI - KATA 11 JIMBO LA USHETU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Waziri wa Uchumi na Mbunge wa Ubungo amewatangazia Wapigakura wake Kuwa kupitia Tanroads wamesaini mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Kimara- Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi na Kampuni ya Nyanza Prof...
1 Reactions
7 Replies
904 Views
Salaam,Shalom. Matatizo ya Wananchi ni ya kimfumo, hivyo chama Cha MAPINDUZI CCM kisipoteze muda kujaribu kuhadaa wananchi kuwa kinaweza kutatua kero za wananchi katika ziara majukwaani kana...
2 Reactions
6 Replies
574 Views
Kwa jinsi Wananchi wanavyomlalamikia Bi mkubwa kwenye suala la mfumuko wa bei hususan vyakula mzee wa ubwabwa akija na hizo sera zake atashinda.
0 Reactions
0 Replies
396 Views
ULIMWENGU ni jukwaa la mateso kwa watu huru kifikra. Wenye kutumia akili zao kupokea, kutafsiri na kujenga hoja. Wanaounda mitazamo na misimamo baada ya kujiridhisha kwa tafakuri binafsi. "The...
16 Reactions
48 Replies
6K Views
2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Niko Dar es salaam hapa tangu Royal Tour itoke. Sijawahi kusikia mtu yeyote au kikundi cha watu mtaani wakihadithia filamu ya Royal Tour. Mimi mwenyewe sijawahi kuiona, only kwenye vi clip vya...
0 Reactions
3 Replies
658 Views
Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Watoto Kumbusho Dawson amewasilisha Ombi la Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar, kesi hiyo ya namba 2212 ya mwaka 2024 itatajwa kwa mara ya kwanza...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa. Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Hints kuhusu Makonda:- (a). Anachukia dhuruma (b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea (c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi (d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini, (e)...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari, Kama wabunge wameshindwa kutatua matatizo madogodogo ya wananchi na kumwachia muenezi Makonda. Kuanzia ma DC, watendaji wa halmashauri wote wamemwachia Makonda. Je, sisi tunathamani ipi...
1 Reactions
0 Replies
401 Views
Back
Top Bottom