Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Naunga mkono wazo hoja ya Gwajima. Ni ujinga kuiga Kila kitu kutoka Ulaya.Robots zimegunduliwa Ulaya na USA Kwa lengi la kukabiliana na uhaba wa Nguvu kazi. Sasa hapa Tanzania nilisikia...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu 2020 naye mpinzani mkuu wa Putin huko Russia ameambiwa Fomu yake hajaijaza sawasawa hivyo akajaze Upya. Trump naye japo Wamarekani wengi wanampenda bado anafanyiwa...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe Eng Ezra John Chiwelesa mapema Leo Feb 08, 2024 akichangia Bungeni amenukuu maneno kutoka katika Biblia Takatifu yanayompa binadamu mamlaka ya kutawala viumbe...
0 Reactions
4 Replies
652 Views
So my question is? Kwann watu wanakusanyika anapokuwa Makonda? Maana yake,anachokifanya Makonda wangekuwa wameshafanya ma DC, RC, wakurugenzi, mawaziri, manaibu waziri, jero nyingi zingekuwa...
10 Reactions
69 Replies
3K Views
Awamu ya 5,ukimtoa marehemu Rais Magufuli,hakuna mtu mwingine aliweza kumgusa Makonda.Alikiwa anaogopwa kushinda VP na PM. Awamu ya 6, Ukimtoa Rais Samia, hakuna Kiongozi mwingine anaogopwa kama...
5 Reactions
91 Replies
5K Views
Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine...
3 Reactions
219 Replies
15K Views
Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu...
0 Reactions
4 Replies
585 Views
Asichokijua Mbunge ni kwamba Picha ya Rais inabeba maana pana katika mambo mtambuka ya Nchi Kuanzia awamu ya Mkapa Shilingi yetu haitambi huko Duniani Vitu vingine ni kutumia common sense tu...
1 Reactions
4 Replies
506 Views
Nikiri tu mwanzo sikumuelewa ndugu Makonda, lakini sasa namuelewa kuliko anavyojielewa. Kwa heshima ya chama na mimi kipara kipya na wanachama wa CCM wote wenye mapenzi mema na nchi na Rais na...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe...
1 Reactions
127 Replies
7K Views
Kwa tulicheza mgambo, sungusungu, scout n.k lazima tufundishwe kasomo kadogo kanaitwa Chain of command. Mdogo hupokea amri kwa mkubwa huku mkubwa na kutekeleza huku mkubwa akiendelea kuwa na...
3 Reactions
6 Replies
835 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024 ''Poland imekuwa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Makonda bado ni kijana mdogo na bado hana utashi uliokamilika, bado anafanya mambo kwa kufuata hulka, hisia za kiujana na kutegemea watu wanamwona vipi. Hulka hizi hutumika sana na wakubwa...
0 Reactions
2 Replies
659 Views
Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM MJUMBE wa Mkutano Mkuu Taifa (MNEC), kutoka Mkoa wa Simiyu, Gungu Silanga amekabidhi vitabu vya kanuni za Chama Cha...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
https://www.youtube.com/watch?v=st-YFWzMvWQ RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
UKOSEFU WA UMEME NA MAJI KATIKA DUNIA YA SASA YENYE TEKNOLOJIA LUKUKI, TUJITAFAKARI VIZURI Na Comrade Ally Maftah Nawapongeza sana viongozi wote wasaidizi wa Dr Samia kwa jitihada mbalimbali za...
1 Reactions
6 Replies
681 Views
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa...
31 Reactions
105 Replies
7K Views
Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje...
6 Reactions
81 Replies
4K Views
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi. Leo...
8 Reactions
94 Replies
5K Views
Back
Top Bottom