Unafiki: Aliyemdhalilisha Chongolo Kinondoni leo kawa Mtetezi wake!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC.

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?

Screenshot_2024-02-09-18-10-33-1.png
 
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani ?

View attachment 2898805
Unadakiwa vitu vya watu wengine usivyovielewa undani wake!!!! Hivi unapowaona hawa watu wakitupiana maneno unafikiri huwa wanamaanisha?
CCM in sura tatu ndani yao na huzitumia kadri ya mazingira ya kisiasa yanavyobadilika; ukiendelea kufuatilia hivi vitu utapotezwa njia halafu unabaki kuzomewa. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe
 
Chadema: Lowasa ni Fisadi list of shame
Then!
Chadema: Lowasa si Fisadi, anaonewa
 
Trivial matter...

Kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu. Naamini hata huko CHADEMA mambo ni yale yale.

Unashangaa ya Makonda na Chongolo mbona hushangai ya Makonda na Gwajiboy? Hawa walipapurana kweli kweli lakini leo ni washikaji tu...

Kama na haya mambo madogo yanakusumbua mpaka kuyaanzishia uzi basi bado sana kuzielewa siasa na wanasiasa!
 
Unadakiwa vitu vya watu wengine usivyovielewa undani wake!!!! Hivi unapowaona hawa watu wakitupiana maneno unafikiri huwa wanamaanisha?
CCM in sura tatu ndani yao na huzitumia kadri ya mazingira ya kisiasa yanavyobadilika; ukiendelea kufuatilia hivi vitu utapotezwa njia halafu unabaki kuzomewa. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe
Na sumu wanazolishana nazo ni za umoja ?
 
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani ?

View attachment 2898805
Nakumbuka Chadema Walisema kuwa kama CCM wanaona Lowasa ni fisadi na aliiba wampeleke mahakamani! Lakini wakasahau ya mwembe yanga
 
Na sumu wanazolishana nazo ni za umoja ?
Nimekupa dondoo ndani ya CCM kuna sura tatu za wanyama (FISI, CHUI, na SIMBA)
Mazingira ya kisiasa ndio yanayoleta utekelezaji wa mazingiara hayo unayosema wapinzani huwa spika tu ya kupayuka baadhi ya vitu vinavyotolewa nje baada ya wao kwa wao kukwaruzana ndani. wanatoka nje huku wakinyang'anyana mnyama aliyeuwawa na mmowapo wa hao wanyama.
1. FISI-Anafuatilia mahali palipo na windo lililopatikana ama kwa kubakizwa kama mabaki au kudowea ili ajipatie bila kufanyia kazi na hajali aliyepata kwa jasho lako kwamba anamdhulumu
2. CHUI-Anavizia windo au mali inayoyotolewa kwa ajili manufaa ya nchi kisha anadaka na kukimbia nayojuu ya mti ale peke yake bila kujali mwingine pia ana njaa
3. SIMBA-Anakabili windo bila uoga na hujipatia kwa niia za kikatili sana ila ana huruma na wanyonge (Simba) haui kitoto kidogo cha punda milia, swala au nyumbu kisicho na uwezo kusimama na kujitegemea kwa uhakika kupata chakula. Kwa maana hiyo Simba husikilza viumbe vinyonge na kuacha kuvishambulia lakini huvilinda visishambuliwe na Fisi maana huyo hachagui chochote akionacho anataka kula tu.

Ni juu yako kutofautisha yupi ni yupi na wakati tuliopo ni upi kwa kuzingatia sura tajwa hapo juu
 
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani ?

View attachment 2898805
in politics there is no permanent enemy, Lazima ujue na kufahamu hilo ticha 🐒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom