Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Poll Poll
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa? Jibu Ndio/Hapana/Sijui Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na...
7 Reactions
697 Replies
64K Views
Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa...
27 Reactions
166 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara ,Jabali la siasa,mtetezi na Sauti ya wanyonge ametoa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanabodi, Wale wenye access na ITV, lets watch part II ya Mahojiano ya Waziri Mkuu wetu mstaafu kwa kujiuzulu, Edward Lowassa kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV kuanzia saa 3:00...
5 Reactions
144 Replies
13K Views
Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani. Kikwete aliyasema hayo...
6 Reactions
887 Replies
108K Views
Ni msemo, kwenye maisha, ukiona watu wako wa karibu mliokuwa pamoja tangu enzi za ujana na utafutaji na struggle za kutoboa kwenye maisha wanadondoka kwa mfululizo Jua muda sio rafiki and it...
17 Reactions
29 Replies
2K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 huku akisisitiza kuwa kwa vyovyote vile...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Karibu! Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
2 Reactions
8 Replies
931 Views
Wanabodi, Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Unaweza usiione pweinti hapo Lakini mjue kuna Baadhi ya Viongozi hupendelea kupeleka Fursa Kwao na Changamoto kuwapelekea Wengine Chadema badilikeni kama kweli mnatamani kukamata au kuongoza nchi...
6 Reactions
16 Replies
944 Views
Just imagine Nchi Ina miaka 62 ya uhuru Bado Inagawa umeme kwa wananchi. Wewe mtanzania mwenzangu unayepiga kura kuchagua majitu yanayojiita viongozi. Hivi unaonaje? Kweli hii ni Sawa kugawiwa...
4 Reactions
8 Replies
452 Views
Akihojiwa katika kituo cha runinga TBC 1, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameulizwa kuhusu kiongozi mkubwa waliokataa wito na kwenda kupima DNA baada ya kudaiwa kutelekeza mtoto...
6 Reactions
303 Replies
38K Views
Inajulikana kwamba Edward samefarika akiwa kada wa CCM, lakini 2015 alikuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Je, CHADEMA watampa heshima stahiki kwa kuahirisha maandamano?
0 Reactions
1 Replies
917 Views
1. Waziri wa Afya - out 2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out 3. Waziri wa kilimo - out 4. Waziri wa Elimu - out 5. Waziri wa Nishati - out 6. Waziri wa ardhi - out 7. IGP - OUT 8. Mkuu wa...
13 Reactions
106 Replies
8K Views
Nimefuatilia sana ziara za Makonda. Nilichogundua ni kwamba, ukiachilia mbali siasa lakini kwa zaidi ya 75% Makonda anafanana sana na JPM. Anafanana katika kusikiliza kero za Watanzania na...
1 Reactions
1 Replies
466 Views
Umati wa mashabiki wa soka waliohudhuria game ya Simba dhidi ya Azam kwenye uwanja wa ccm Kirumba , leo umepata bahati ya Mtende ya kusikia moja kwa moja matangazo ya Kuhamasisha Maandamano hayo...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanabodi, leo ndio imefanyika Arobaini ya Simba wa Vita, Mzee wetu, Rashidi Mfaume Kawawa, ambapo Rais JK, ameongoza maelfu ya waliohudhuria iliyofanyikia nyumbani kwake Madale, nje kidogo ya jiji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kawaida rekodi ya mikutano ya kisiasa inatarajiwa kuvunjwa leo tena, CCM Leo inamalizwa kabisa kwenye jimbo hili. Wadau wote mnakaribishwa kwa updates .
6 Reactions
96 Replies
16K Views
"Mimi nimemkataa Lowassa kipindi bado anatisha , mungemchagua ningekuwa jela muda huu Mimi nilimkataa tokea Niko Umoja wa vijana namkumbuka niliitisha press na waandishi wa habari nilipotamka...
14 Reactions
133 Replies
20K Views
Back
Top Bottom