Ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kufikiri

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Mfano mdogo leo hii Makonda, anazunguluka nchi nzima, kuwauliza watu matatizo yao, matatizo ambayo yamesababisha na serikali , serikali ambayo inasimamiwa na chama chao, yani mfano. Wake ,mwizi kamuibia mtu, halafu yule yule mwizi anamu uliza, yule aliemuibia, nani kakuibia, halafu yule alieibiwa, ana amini yule, aliye muibia ajui, kama yy ndio kamuibi, na ana amini kweli yule mwizi ana muhurumia, bila ya shaka huyu alieibiwa kapoteza uwezo wa kufikiria, makonda na hao anawao watuhumu wote lao moja halafu watu kwa kupeteza uwezo wa kufikiri , wana amini kweli kwamba, Makonda na hao watu wanao walalamikia, kwenye mikutano yake ni wa haina mbili tofauti ,kweli ukiwa ccm unapoteza uwezo wakufikiria hongera. Sana ccm kwakuwafanya raia watanzania wengi wao kwaku poteza uwezo wa kufikiri
 
KERO ZOTE ZA WANANCHI ZIMESABABISHWA NA CCM NA SERIKALI YAKE MAKONDA ANAJITOA UFAHAMU KUDHANIA ZIMESABABISHWA NA CHADEMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wewe CHADEMA mwenye uwezo wa kufikiri huwezi ata kuandika kwa paragraph??
Shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Nawezaje kumsifia mtu kuwa anaupiga mwingi Kwa kujenga barabara ya lami, wakati Mimi Sina hata baiskeli ya kupita kwenye barabara hiyo- Andrew Nyerere.

Anajaribu kumaanisha kuwa,

Mwenezi kutamka hadharani jukwaani, kuwa anaweza kumpiga makofi waziri wa viwanda, inamsaidia nini Mwananchi asiye na uhakika wa kupata mlo mmoja Kwa siku?
 
Mfano mdogo leo hii Makonda, anazunguluka nchi nzima, kuwauliza watu matatizo yao, matatizo ambayo yamesababisha na serikali , serikali ambayo inasimamiwa na chama chao, yani mfano. Wake ,mwizi kamuibia mtu, halafu yule yule mwizi anamu uliza, yule aliemuibia, nani kakuibia, halafu yule alieibiwa, ana amini yule, aliye muibia ajui, kama yy ndio kamuibi, na ana amini kweli yule mwizi ana muhurumia, bila ya shaka huyu alieibiwa kapoteza uwezo wa kufikiria, makonda na hao anawao watuhumu wote lao moja halafu watu kwa kupeteza uwezo wa kufikiri , wana amini kweli kwamba, Makonda na hao watu wanao walalamikia, kwenye mikutano yake ni wa haina mbili tofauti ,kweli ukiwa ccm unapoteza uwezo wakufikiria hongera. Sana ccm kwakuwafanya raia watanzania wengi wao kwaku poteza uwezo wa kufikiri
Swali la kujiuliza ni kwanin hawataki kuachia madarakai??
 
Wewe CHADEMA mwenye uwezo wa kufikiri huwezi ata kuandika kwa paragraph??
Shuleni ulienda kusomea ujinga?
Na wewe unaweza kukuta ndio mjenga hoja mkuu wa CCM!! daaa, yaani unaacha hoja ya msingi unaibua vitu vidogo vidogo!! Kweli mwafrika ni Nyani aliyechangamka tu
 
..
JamiiForums1389173211.jpg
 
Wewe CHADEMA mwenye uwezo wa kufikiri huwezi ata kuandika kwa paragraph??
Shuleni ulienda kusomea ujinga?
Ccm hao ndio wamesababisha nisijue kua ndika wala kusoma ndio maana c wapendi wao waliokua wanatufaukusha hali yakuwa tulifeli wanafoc kufaulisha watu hili wafanane na shule binafsi kwahio wala ujakosea kweli c jui kua ndika ndio maana naichukia ccm
 
Na wewe unaweza kukuta ndio mjenga hoja mkuu wa CCM!! daaa, yaani unaacha hoja ya msingi unaibua vitu vidogo vidogo!! Kweli mwafrika ni Nyani aliyechangamka tu
Sio yy tu wengi machawa ndivyo wanavyo jibu hoja yani akiona chakujibu hana anatafuta mapungufu unatakiwa uwazoee hapo ndipo uelewa wao ulipo ishia
 
Mfano mdogo leo hii Makonda, anazunguluka nchi nzima, kuwauliza watu matatizo yao, matatizo ambayo yamesababisha na serikali , serikali ambayo inasimamiwa na chama chao, yani mfano. Wake ,mwizi kamuibia mtu, halafu yule yule mwizi anamu uliza, yule aliemuibia, nani kakuibia, halafu yule alieibiwa, ana amini yule, aliye muibia ajui, kama yy ndio kamuibi, na ana amini kweli yule mwizi ana muhurumia, bila ya shaka huyu alieibiwa kapoteza uwezo wa kufikiria, makonda na hao anawao watuhumu wote lao moja halafu watu kwa kupeteza uwezo wa kufikiri , wana amini kweli kwamba, Makonda na hao watu wanao walalamikia, kwenye mikutano yake ni wa haina mbili tofauti ,kweli ukiwa ccm unapoteza uwezo wakufikiria hongera. Sana ccm kwakuwafanya raia watanzania wengi wao kwaku poteza uwezo wa kufikiri
Tatizo sio CCM.tatizo NI raia.low thinking capacity.
 
Mungu ni mwema Sana Leo makonda anawaacha uchi CCM imeshindwa kabisa kusimamia serikali wizi,uonevu vyawekwa wazi
 
Back
Top Bottom