Hakuna binadamu yeyote aliye mkubwa kuliko CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,485
Reaction score
283,881
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa.

Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .

CHADEMA ni kama Jeshi, hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe, si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa CHADEMA.

Bila kujali yanayoendelea, na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine, naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals.
=================

Tumbo, said:

Wakuu amani ya Bwana iwe pamoja nanyi.

Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ni taasisi imara ambayo imejijengea uwezo, himaya ya kitaasisi tangu pale mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini mwaka 1992 hadi sasa.

CHADEMA kama taasisi haimtegemei mtu/kiongozi mmoja ama kundi la watu wachache wenye maslahi yao binafsi ndani ya chama ili iendelee kuwepo, bali hutegemea nguvu ya UMMA na wanachama kwa ujumla wao, na hapa ndipo nguvu ya taasisi inapoonekana, hakuna wakuliteteresha/liyumbisha CHADEMA kwa kuondoka mwenyewe ama kufukuzwa na chama.

Kwa nyakati tofauti tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992, CHADEMA imepata kuwa na viongozi wengi na wenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama, CHADEMA imepata kuwa na viongozi ndani ya chama wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuweza kushawishi Jamii juu ya agenda za chama/taasisi na hatimae kueleweka vyema kwa UMMA.

Pamoja na hao viongozi kuwa na ushawishi ndani na nje ya chama, kuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja; lakini bado hawakuwa juu ya chama ama wakubwa kuliko chama/taasisi. Walipokwenda kinyume na taratibu za chama aidha walifukuzwa ama walijiondoa wenyewe na chama /taasisi ikaendelea kuwepo na pengine kuimarika zaidi.

Mfano mzuri ni akina M1&Co, walipotimuliwa baada ya kwenda kinyume na maadili na taratibu za chama bado CHADEMA haikutetereka bali iliimarika mara dufu. Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 aliondoka Dr.Slaa CHADEMA haikupasuka kama miccm ilivyo tarajia na hatimae CHADEMA kwa chini ya UKAWA ilipata takriban 6m kwa nafasi ya Urais na idadi kubwa ya wabunge na madiwani hali iliyopelekea CHADEMA /UKAWA kuongoza baadhi ya halmashauri nchini ikiwemo Dar es Salaam.

Hili swala la Lowassa kwenda tofauti na mtazamo/ misimamo ya chama /taasisi haikubaliki, aitwe mbele ya kamati kuu ajieleze ni agenda zipi alienda nazo ikulu na kwani nini afanye jambo hilo kuwa siri? Kwa nini hakushirikiana na viongozi wa CHADEMA ili wawe na agenda ya pamoja? Apewe nafasi ya kusikilizwa asipotoa maelezo yanayo jitosheleza, milango iwe wazi kwake iwe ni kwa hiari yake ama kwa nguvu ya UMMA ili kulinda maslahi cha chama/taasisi na chama bado itabaki salama.

Kusifia serikali pale inapofanya jambo jema kwa wananchi wake siyo vibaya, ila kwa hali ilivyo hivi sasa kila raia amekata tamaa mtaani hali ni mbaya changamoto lukuki, maisha kwa ujumla ni magumu mno! Usalama wetu upo mashakani, huduma za Jamii hairidhishi, ajira, mikopo elimu ya juu balaa tupu, uhuru wa vyombo vya habari, kujieleza, bunge kabatini, unapataje ujasiri wa kupongeza serikali kwa hali hiyo?. Unless otherwise atueleze alienda ikulu kwa maslahi yake binafsi na yale yote aliyoyaongea ni maoni yake binafsi.

Mungu ibariki Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Africa kwa ujumla.
 
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa .

Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .

Chadema ni kama Jeshi , Hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe , Si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa Chadema .

Bila kujali yanayoendelea , na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine , naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals .
What has been made by men can be broken by men
 
Huo ndio ukweli wenyewe aliondoka Dr Warid, Dr Slaa, Arfi, Zitto na genge lake lote la PM7 na Chadema iko imara kabisa.

Chadema ni taasisi isiyo na wanachama waamini watu, iko na wanachama waamini itikadi, Falsafa na sera zake.

Kusubiri Chadema ianguke kisa tu kiongozi fulani atatoka ni sawa kusubiri Bombardier bandarini.

Nyie mnaojifariji kuwa kutetereka kwa Chadema kama taasisi mtachoma sana mahindi kwa mwanga wa Mbalamwezi
 
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa .

Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .

Chadema ni kama Jeshi , Hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe , Si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa Chadema .

Bila kujali yanayoendelea , na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine , naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals .

unasema si mbowe wakati ndie mwenye chama?

tangu lini chadema inathamini maamuzi ya wanachama wake?

unajifariji sana

ushawahi ona CCM anaondoka mtu anaanzisha thread kama yako?
 
WACHA KUTUDANGANYA WEWE CHEMBE HAI NYEUPE.....MBOWE NA LEMA NI WAKUBWA KUSHINDA CHADEMA
 
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa .

Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .

Chadema ni kama Jeshi , Hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe , Si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa Chadema .

Bila kujali yanayoendelea , na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine , naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals .

Kazi ni kutoka hapo la kuachana na personality kiukweli na kuijali institution, wengi wameiacha chadema kwa kukosa hiyo taswira ya kuwa taasisi.

Chadema ikirudi Kuwa taasisi ambapo kila mmoja anadhibitiwa na taratibu za chama kama ya mzee Mtei na Bob Makani. Chadema ambayo mtu hapokei msaada kwa chama akageuza pesa zake kisha anakidai chama atakavyo, Chama ambacho hakitaruhusu kahaba ateuliwe mbunge kwa ajili ya kwenda kuishi Dodoma kumstatehesha mtu mmoja pasipo kuchukuliwa hatua.

chadema itakayokuwa tayari kumuwajibisha kiongozi wake akikiuka misingi yake badala ya kutetea uovu na kumtetea kiongozi muovu.
chadema itakyokuwa ikiwaheshimu watanzania na kutambua uwezo wa watanzania hao katika kujiletea maendeleo yao na ustawi wao pasipo kutegemea mabwana wa nje na kuwafanya wao ndio wahifadhi na watunzaji wa fikra na mustskabali Wetu,

chadema itakayotambua Tanzania ni nchi huru na watanzania ni ndugu.

Chadema ya leo sio taasisi ndio maana Lowassa alipewa ugombea uraisi pasipo taratibu kufuatwa, chadema ya leo sio taasisi ndio maana kila mtu ni msemaji wa chama na chama kinaafiki. Mbowe msemaji, Lissu, Lema, Nyerere, Malisa, Msigwa,Lowassa na takataka nyingine nyingi Kama Mdude Nyagali nk

Chadema imekuwa kijiwe cha wenye hasira na waropokaji kama kina Lissu. Hiyo sio siasa, taasisi haiwi hivyo, taasisi ni lazima itumie system approach
 
unasema si mbowe wakati ndie mwenye chama?

tangu lini chadema inathamini maamuzi ya wanachama wake?

unajifariji sana

ushawahi ona CCM anaondoka mtu anaanzisha thread kama yako?
Huko kwenu ccm , inaitwa CCM ya Magufuli , ushindi Alipata 100% ! Eti hakuna hata kura 1 iliyoharibika huku zaidi ya wajumbe 100 hawakujua kusoma wala kuandika .

Huyu Mbowe unaye mmilikisha chadema hajawahi kushinda uenyekiti kwa 100% na wala hajawahi kuita chama CHADEMA YA MBOWE .
 
Kazi ni kutoka hapo la kuachana na personality kiukweli na kuijali institution, wengi wameiacha chadema kwa kukosa hiyo taswira ya kuwa taasisi.

Chadema ikirudi Kuwa taasisi ambapo kila mmoja anadhibitiwa na taratibu za chama kama ya mzee Mtei na Bob Makani. Chadema ambayo mtu hapokei msaada kwa chama akageuza pesa zake kisha anakidai chama atakavyo, Chaka ambacho hakitaruhusu kahaba ateuliwe mbunge kwa ajili ya kwenda kuishi Dodoma kumstatehesha mtu mmoja pasipo kuchukuliwa hatua, chadema itakayokuwa tayari kumuwajibisha kiongozi wake akikiuka misingi yake badala ya kutetea uovu, chadema itakyokuwa ikiwaheshimu watanzania na kutambua uwezo wa watanzania hao katika kujiletea maendeleo yao na ustawi wao pasipo kutegemea mabwana wa nje na kuwafanya wao ndio wahifadhi na watunzaji wa fikra na mustskabali Wetu, chadema itakayotambua Tanzania ni nchi huru na watanzania ni ndugu.
Porojo hizi ni kwa faida ya nani ?
 
Nimeona niliweke hili ili kuondoa sintofahamu inayozunguka nchini Tanzania kwa sasa .

Hakuna haja yoyote ya mtu yeyote kupanic kwa sababu yeyote ile .

Chadema ni kama Jeshi , Hakuna kamanda yeyote ambaye ni mkubwa kuliko Jeshi lenyewe , Si Mbowe wala Mashinji ama labda Erythrocyte ambaye aweza kuushinda ukubwa wa Chadema .

Bila kujali yanayoendelea , na naomba niweke wazi kwamba hapa sijadili malumbano yanayojadiliwa na wengine , naweka angalizo kwamba CHADEMA ambayo inaongoza kata yangu kule Kyela na imefika mpaka kijijini kwetu Kajunjumele ni kubwa sana kuliko individuals .
Yamebaki maneno kila uchao!
 
Huko kwenu ccm , inaitwa CCM ya Magufuli , ushindi Alipata 100% ! Eti hakuna hata kura 1 iliyoharibika huku zaidi ya wajumbe 100 hawakujua kusoma wala kuandika .

Huyu Mbowe unaye mmilikisha chadema hajawahi kushinda uenyekiti kwa 100% na wala hajawahi kuita chama CHADEMA YA MBOWE .

Chama chako kina matatizo, unashindana na chama chenye dola kisicho na matatizo kwa kumtetea mwenyekiti wako anayetumia chama kupata mademu halafu unasema hakuna mkubwa kuliko chadema? Ukapimwe wewe! Unafahamu huu uzi umeuanzisha kwa sababugani? Pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom