Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,717
Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy.
Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano.
Kiongozi wa serikali anaonyesha loyalty yake kwa rais kwa kuyapuuzia maandamano.
Watu wanahitaji kupewa ruhusa mapema ili wafanye planning.
Lakini hii ni nchi ya vyama vingi. Mapalala alipopendekeza nchi hii iruhusu vyama vingi alikuwa na maana yake. Labda aliagizwa na Jibril kuanzisha vyama vingi Tanzania.
This is important. Tanzania is a democracy. There are many systems of government. Lakini Tanzania imechagua kuwa democratic country.
Sasa,watu wanabet,Kamanda wa Polisi Mwanza ataruhusu maandamano au vipi?
Itafika pahali watu wataona haya kuitwa Watanzania.
Mbunge katika Bunge anauliza maswali kuhusu utekaji wa raia,naambiwa tv ya taifa ilikata matangazo. Sasa tunafanya kazi ya Mungu au tunafanya kazi ya nani?
Demokrasi ndio maana yake kuheshimu hako za binadamu; kuruhusu upinzani wa kisiasa: alikuwa anasema Abraham Lincoln demokrasi maana yake usiwanyanyase Wapinzani wakoshindwa Uchaguzi.
Watu wametoka mbali,mpaka wakafikiria kwamba wanahitaji kuwa na democracy