Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa? Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba...
11 Reactions
80 Replies
6K Views
Hakuna umeme hata dar es salaam, viwanda, majumbani na kwenye biashara hakuna umeme, ni shida na hasara ya matrilion inapatikana: Mvua zinanyesha nchi nzima, mabwawa yamejaa na mafuriko kila kona...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar. Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu...
11 Reactions
84 Replies
7K Views
Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Leo nimeona tujadiri wapi bunge letu limekosea/linakosea. Awali tunajua kuwa mbunge wa Jimbo anapochaguliwa anawakilisha wana-Jimbo wote. Sasa mbona wanawake wanataka mwakilishi wao, mbona...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Kutokana na mfumo wa Jeshi la polisi ulivyo, kitengo Cha CID kipo chini ya jeshi Hilo ambapo mkuu wa kitengo hicho ni mmoja wa wasaidizi wa IGP anayeshughulika na upelelezi wa makosa makubwa ya...
11 Reactions
50 Replies
8K Views
Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki? Hebu msikilize huyu Mama. https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
1 Reactions
9 Replies
900 Views
Sias zina unafiki sana. Siku zote wanasiasa wanatanguliza maslahi yao, wasikudanganye vinginevyo. Suala la kuruhusu mgombea binafsi liliamuliwa na mahakama kuwa ni haki ya kikatiba ya kila...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Haya aliyasema katika hukumu ya kesi ya Rev. Mtikila v Attorney General, 1993 Leo tunaona Rais na kila mmoja upande wa CCM wanavunja KATIBA kama vile kuvunja uchumba! Jaji Lugakingira...
1 Reactions
1 Replies
852 Views
Wadau nawasabahi.Poleni na Msiba wa Shujaa Edward Lowassa pia poleni na Matatizo ya Bei na Upatikanaji wa SUKARI na pia Upatikanaji wa UMEME. Hoja yangu ni UMEME Kutokana na Sintafahau...
8 Reactions
12 Replies
806 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja...
52 Reactions
86 Replies
4K Views
Mgao mkali wa umeme uliopo unatokana na upungufu uliopo katika uzalishaji dhidi ya mahitaji. Kuwashwa kwa Mtambo namba 9 katika Mradi wa Bwawa la uzalishaji umeme la Julius Nyerere ambao...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Na Joseph Maziku, Arusha Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa zamani wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema ameingia katika rekodi nyingine ya...
-1 Reactions
0 Replies
641 Views
Pamoja na jitihada kubwa zinazo fanywa na Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama, kuhakikisha kuwa nchi yetu inapata nishati ya uhakika lakini bado naona kuna tatizo la msingi ambalo pamoja na mambo...
2 Reactions
2 Replies
390 Views
Ndg. zangu wanaJF, Mr. Massoro Hussein Kivuga in chaguo la wananchi wa ukonga jijini Dar es Salaam. Anauzika anafaa anatosha mpaka chenji inabaki. Ukonga kama jumbo ambalo lipo wazi has a baada...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha . Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Inaeleweka wazi Tundu Lissu hata akitumia Jukwaa la Kichanja cha kupigia Mahindi huwa anapata nyomi la uhakika Nataka kujua ni Mwanasiasa gani mwingine mwenye Nyota ya kuujaza Uwanja wa mkutano...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
"Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu wale wale walioleta matatizo, yaani matatizo hayawezi kutatuliwa na kiwango cha fikra kile kile kilicholeta matatizo, matatizo tuliyonayo ya kukosa maji...
1 Reactions
8 Replies
713 Views
Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania. Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…