Tanzania tumepoteza uelekeo wetu kimataifa, nani awajibike?

Mwalimu Nyerere and all wazee they were quick to perceive that Afrika will be brighter and prosperous continent through AU.

Instead, the Africans are becoming dismembered from ECOWAS and one day AU itself.

On its current structure AU is not fit for purpose.
 
Hii inaonyesha kuwa viongozi wengi wa Afrika hawatokani na waafrika wenyewe, ni mapandikizi ya magharibi.
 
..Mama Naledi katupa jiwe gizani.

..Kwamba kuna serikali za Kiafrika zimehongwa na Morocco na Israel.
 
Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki?

Hebu msikilize huyu Mama.

View: https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k

I have a plan to establish my second home to South Africa...

Nimefurahi sana huu msimamo wao.

Niliandika thread hapa kuwa Nyerere alifanya makosa makubwa kutuingiza kwenye haya madudu ya Umoja wa Afrika bila ridhaa yetu. Kimsingi hatukujiandaa.
 
..Mama Naledi katupa jiwe gizani.

..Kwamba kuna serikali za Kiafrika zimehongwa na Morocco na Israel.
Morocco tumemuomba atujengee misikiti na viwanja vya mpira, ni urafiki ulioje!! Israel ndio usiseme, kilimo chetu kinawategemea wao kwa technology. Tulikosa vitu vingi kwaajili ya wengine kwa muda mrefu sana
 
..Ccm hawashindwi kuwajengea Bakwata msikiti. Chama kinapokea 1.3 billion kila mwezi.

..Kinachoendelea ni usaliti kwa Sahara Magharibi na Wapalestina. Ndio maana Mzee Mugabe alitukemea ktk mkutano wa wakuu wa AU.
 
CCM inatafuta kila njia ya kuendelea kubaki madarakani hata kama njia hiyo sio endelevu, mbaya na yenye kututia hasara na soni.
 
Back
Top Bottom