Ukimtoa Tundu Lissu ni Mwanasiasa gani mwingine anaweza kuujaza Uwanja wa mkutano bila kusindikizwa na Wasanii?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Inaeleweka wazi Tundu Lissu hata akitumia Jukwaa la Kichanja cha kupigia Mahindi huwa anapata nyomi la uhakika

Nataka kujua ni Mwanasiasa gani mwingine mwenye Nyota ya kuujaza Uwanja wa mkutano bila kusindikizwa na Wasanii wa Kizazi kipya hawa akina Diamond na Zuchu

Ni hilo tu

Mlale unono 😀😀
 
Mheshimiwa Mama Samia Suluhu tuu
 
Inaeleweka wazi Tundu Lissu hata akitumia Jukwaa la Kichanja cha kupigia Mahindi huwa anapata nyomi la uhakika

Nataka kujua ni Mwanasiasa gani mwingine mwenye Nyota ya kuujaza Uwanja wa mkutano bila kusindikizwa na Wasanii wa Kizazi kipya hawa akina Diamond na Zuchu

Ni hilo tu

Mlale unono 😀😀
John John nimekuita Mara mbili.
 
Inaeleweka wazi Tundu Lissu hata akitumia Jukwaa la Kichanja cha kupigia Mahindi huwa anapata nyomi la uhakika

Nataka kujua ni Mwanasiasa gani mwingine mwenye Nyota ya kuujaza Uwanja wa mkutano bila kusindikizwa na Wasanii wa Kizazi kipya hawa akina Diamond na Zuchu

Ni hilo tu

Mlale unono 😀😀
Lissu kwshafulia

Hawezi kaza uwanja
 
Inaeleweka wazi Tundu Lissu hata akitumia Jukwaa la Kichanja cha kupigia Mahindi huwa anapata nyomi la uhakika

Nataka kujua ni Mwanasiasa gani mwingine mwenye Nyota ya kuujaza Uwanja wa mkutano bila kusindikizwa na Wasanii wa Kizazi kipya hawa akina Diamond na Zuchu

Ni hilo tu

Mlale unono 😀😀
We hiko kiazi ndo roll model wako?
Pole sana.
 
Back
Top Bottom