Mfumuko wa bei wawafukuza wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo, wasema wanapata hasara

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania.

Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani maradufu dhidi ya shilingi ya Tanzania.

Dola Leo pale Kariakoo ni 2850 miaka nyuma wakati wa Magufuli, wao walinunua Dola 1 sawa na shilingi 2,180 hadi 2,200 mfumuko huo wa bei unawalazimisha wao kupandisha bei za bidhaa zao na kufanya soko kuwa gumu kwa kukosa wateja.

Kuna bidhaa kama chandarua wanayouza sh 6,000 kwa bei ya jumla kupandisha hadi sh 10,000 kwa bei ya jumla, hii inawawia vigumu wafanyabiashara wa rejareja waliozoea kununua kwa 6,000 na kuuza kwa 10,000 kama watanunua 10,000 kwa jumla itabidi wauze 14,000 kwa rejareja.

Wafanyabiashara wa chupa za maji wanazouza chupa moja kwa sh 6,000 kwa bei ya jumla itawabidi wapandishe hadi sh 10,000 kwa bei ya jumla, hii inakuwa ngumu kwa mfanyabiashara wa rejareja ataenunua chupa moja ya maji kwa sh 10,000 itamlazimu kuuza sh 14,000 kwa bei ya rejareja.

Biashara inakuwa ngumu kwa wauzaji wa jumla na rejareja sababu ya Dola kupanda bei, ukihitaji Dola laki Moja kuagiza mzigo,itabidi 100,000×2850=285,000,000 itakulazimu uwe na Milioni mia mbili themanini na tano wakati miaka mitano nyuma ilikuwa 100,000×2180=218,000,000 sasa kuna hasara ya 285,000,000-218,000,000=67,000,000 mfanyabiashara anapata hasara ya sh milioni 67,000,000 akipata hasara kwa miaka mitano itamlazimu kurudi kwao China.
 
Wachina wauza mashuka,mataulo,mapazia,chupa za maji,vyombo vya Udongo,maua,chupi,chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani maradufu dhidi ya shilingi ya Tanzania.

Dola Leo pale Kariakoo ni 2850 miaka nyuma wakati wa Magufuli,wao walinunua Dola 1 sawa na shilingi 2,180 hadi 2,200 mfumuko huo wa bei unawalazimisha wao kupandisha bei za bidhaa zao na kufanya soko kuwa gumu kwa kukosa wateja.

Kuna bidhaa kama chandarua wanayouza sh 6,000 kwa bei ya jumla kupandisha hadi sh 10,000 kwa bei ya jumla,hii inawawia vigumu wafanyabiashara wa rejareja waliozoea kununua kwa 6,000 na kuuza kwa 10,000 kama watanunua 10,000 kwa jumla itabidi wauze 14,000 kwa rejareja.

Wafanyabiashara wa chupa za maji wanazouza chupa moja kwa sh 6,000 kwa bei ya jumla itawabidi wapandishe hadi sh 10,000 kwa bei ya jumla,hii inakuwa ngumu kwa mfanyabiashara wa rejareja ataenunua chupa moja ya maji kwa sh 10,000 itamlazimu kuuza sh 14,000 kwa bei ya rejareja.

Biashara inakuwa ngumu kwa wauzaji wa jumla na rejareja sababu ya Dola kupanda bei,ukihitaji Dola laki Moja kuagiza mzigo,itabidi 100,000×2850=285,000,000 itakulazimu uwe na Milioni mia mbili themanini na tano wakati miaka mitano nyuma ilikuwa 100,000×2180=218,000,000 sasa kuna hasara ya 285,000,000-218,000,000=67,000,000 mfanyabiashara anapata hasara ya sh milioni 67,000,000 akipata hasara kwa miaka mitano itamlazimu kurudi kwao China.
Uongo, mimi nipo Kariakoo na deal na vyandarua, Mapazia, Mashuka, maua maua na vifananiavyo. Na uhalisia vingi ya ulivyovitaja vimeshuka bei karibuni.

Mchina gani mkubwa anaeleta hivyo vitu ameondoka? Mama mkali, Daudi? Mjeshi?
 
Sisi ambao tunafanya biashara kariakoo na kununua bidhaa zetu hapa kariakoo tunapitia haya maisha kwasababu sikuhizi kuna bidhaa nyingi Sana haziingiii tena Tanzania kutokana na bei zake kuwa juu Huko nje..
Hata dawa baridi za binadamu baadhi haipatikani kabisaa Tanzania tofauti na zamani, hii nchi inazidi kufa siku hadi siku hasa kwa wafanyabiashara wadogo
 
Alafu watu wasiojitambua wanabeza uongozi wa magufuli!! Kaisome namba ya Bi Kidawa
Mi nimeanza Biashara Wakati wa Magu, fremu nilichagua kariakoo kulikua kutupu, Jengo zima fremu kibao zilikua hazina Watu na ni katikati ya kariakoo, msifieni Magu kadri mnavyoweza ila jamaa hajui biashara,

Sasa hivi kariakoo hupati frame katikati bila kumtoa mtu na kilemba, vifremu vidogo ndio milioni 2, frame za maana zinaanzia milioni 3.

Watu wanavunja Maghorofa, unakuta Ghorofa 6 ama 7 inashushwa chini sababu tu frame hazijaanzia Basement, kinajengwa kitu kipya.

Wengi mnaoongea Biashara hata hampo Kariakoo.
 
Uongo, mimi nipo Kariakoo na deal na vyandarua, Mapazia, Mashuka, maua maua na vifananiavyo. Na uhalisia vingi ya ulivyovitaja vimeshuka bei karibuni.

Mchina gani mkubwa anaeleta hivyo vitu ameondoka? Mama mkali, Daudi? Mjeshi?
Wachina waliondokaga ilikua 2017-2020 wakaelekea Lusaka ilikuaga mambo ya Kodi Kuna namna walikua wanakadiria hawakukubaliana nayo plus mambo ya task force
 
Uchumi wetu ni imara na deni ni stahimilivu na mfumuko wa bei unavumilika waache kulalamika hao wageni mbona sisi tunaweza kununua Sukari 6000/-?
 
Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania.

Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani maradufu dhidi ya shilingi ya Tanzania.

Dola Leo pale Kariakoo ni 2850 miaka nyuma wakati wa Magufuli, wao walinunua Dola 1 sawa na shilingi 2,180 hadi 2,200 mfumuko huo wa bei unawalazimisha wao kupandisha bei za bidhaa zao na kufanya soko kuwa gumu kwa kukosa wateja.

Kuna bidhaa kama chandarua wanayouza sh 6,000 kwa bei ya jumla kupandisha hadi sh 10,000 kwa bei ya jumla, hii inawawia vigumu wafanyabiashara wa rejareja waliozoea kununua kwa 6,000 na kuuza kwa 10,000 kama watanunua 10,000 kwa jumla itabidi wauze 14,000 kwa rejareja.

Wafanyabiashara wa chupa za maji wanazouza chupa moja kwa sh 6,000 kwa bei ya jumla itawabidi wapandishe hadi sh 10,000 kwa bei ya jumla, hii inakuwa ngumu kwa mfanyabiashara wa rejareja ataenunua chupa moja ya maji kwa sh 10,000 itamlazimu kuuza sh 14,000 kwa bei ya rejareja.

Biashara inakuwa ngumu kwa wauzaji wa jumla na rejareja sababu ya Dola kupanda bei, ukihitaji Dola laki Moja kuagiza mzigo,itabidi 100,000×2850=285,000,000 itakulazimu uwe na Milioni mia mbili themanini na tano wakati miaka mitano nyuma ilikuwa 100,000×2180=218,000,000 sasa kuna hasara ya 285,000,000-218,000,000=67,000,000 mfanyabiashara anapata hasara ya sh milioni 67,000,000 akipata hasara kwa miaka mitano itamlazimu kurudi kwao China.
Hivi mnaposemaga mfumuko wa bei Huwa mnamaanisha nini hasa? Kama Kariakoo Kuna mfumuko wa bei Mkoani Kuna nini?
 
Uongo, mimi nipo Kariakoo na deal na vyandarua, Mapazia, Mashuka, maua maua na vifananiavyo. Na uhalisia vingi ya ulivyovitaja vimeshuka bei karibuni.

Mchina gani mkubwa anaeleta hivyo vitu ameondoka? Mama mkali, Daudi? Mjeshi?
Labda uko kariakoo ya Manzese
 
Back
Top Bottom