Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,675
1,926
Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi.

Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE.

Leo sukari shida miaka nenda rudi UTAFIKIRI TANZANIA HAINA MAENEO YA KULIMA MIWA TUKAPATA SUKARI KWA WINGI MPAKA TUUZE NJE YA NCHI TUPATE DOLA.

UKISHANGAA YA MUSA.........
 
Huyu jiwe alikuwa muuaji, mporaji, mtekaji na mpiga risasi. Asitajwe tena hapa JF.

Atakayemtaja atapigwa ban ya maisha hapa JF.
Lzm atajwe hata wakati wa msoga mwangosi aliuawa,lisu alisema tuna rais wa ajabu hata Mimi nikiwa na jembe langu ukiniambia ni wa ajabu jembe likikukosa shukuru MUNGU.
 
kweli kabisa nasema ukweli.kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi.

leo umme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE.

Leo sukari shida miaka nenda rudi UTAFIKIRI TANZANIA HAINA MAENEO YA KULIMA MIWA TUKAPATA SUKARI KWA WINGI MPAKA TUUZE NJE YA NCHI TUPATE DOLA.

UKISHANGAA YA MUSA.........
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
kweli kabisa nasema ukweli.kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi.

leo umme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE.

Leo sukari shida miaka nenda rudi UTAFIKIRI TANZANIA HAINA MAENEO YA KULIMA MIWA TUKAPATA SUKARI KWA WINGI MPAKA TUUZE NJE YA NCHI TUPATE DOLA.

UKISHANGAA YA MUSA.........
Ni kweli kabisa. Magufuli alikuwa jembe kweli kweli.
 
kweli kabisa nasema ukweli.kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi.

leo umme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE.

Leo sukari shida miaka nenda rudi UTAFIKIRI TANZANIA HAINA MAENEO YA KULIMA MIWA TUKAPATA SUKARI KWA WINGI MPAKA TUUZE NJE YA NCHI TUPATE DOLA.

UKISHANGAA YA MUSA.........
Na makonda anaweza sana akipewa rungu kubwa!
 
Hizi alama hapa chini umeacha wewe? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C3xFI25oZrS/?igsh=MXJ4MHl6ZGhnamZybQ==
 
Back
Top Bottom