A breach of the Constitution, however, is such a grave and serious affair by Judge Lugakingira, 1993

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,405
74,024
Haya aliyasema katika hukumu ya kesi ya Rev. Mtikila v Attorney General, 1993

Leo tunaona Rais na kila mmoja upande wa CCM wanavunja KATIBA kama vile kuvunja uchumba!
Jaji Lugakingira akasisisitza kuwa ingawa rules of Private litigation can not be applied to Public interest Litagation, lakini linapokuja tatizo/suala la kuvunja katiba, "beyond reasonable doubt" doctrine inaweza kutumika kuthibitisha hilo ingawa haitumiki kwenye Public interesat Litigation
 
Back
Top Bottom