Heche: Mabadiliko hayawezi kuletwa na waliosababisha matatizo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
"Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu wale wale walioleta matatizo, yaani matatizo hayawezi kutatuliwa na kiwango cha fikra kile kile kilicholeta matatizo, matatizo tuliyonayo ya kukosa maji, umeme, umasikini yameletwa na CCM, CCM haiwezi kubadilisha hayo matatizo, CCM ni sehemu ya matatizo, tatizo haliwezi kujitatua lenyewe, kwa hiyo tunachohitaji watu watuunge mkono tufanye mabadiliko ili kubadilisha maishaa yao" -Heche

John Heche amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV.
 
kwamba heche ndio anaweza keleta ahueweni au kumaliza kabisa matatizo hayo 🐒

na mbona hajabainisha mbadala wa mipango na mikakati ya kutatua matatizo hayo 🐒

kwamba with no alternative plans watu wakurupuke from no where wawaunge watu wasio na mipango mdala karne hii Tanzania?🐒

Real?
kwamba wapo waTz karne hii kirahisi wabebwe u-ng'ombe na heche 🐒
 
Mbona sioni mahali Heche kama Heche kadai kuleta mabadiliko?

Kazungumzia CCM kama taasisi, na ninaamini anazungumzia taasisi nyingine kuing'oa CCM. Siyo yeye binafsi!
 
huwezi kuona kwasabb ya haraka haraka na mbio mbio za kureply 🐒

kwanza fahamu yeye mwenyewe anaona aibu hata kuitaja Taasisi mbadala wa anayoilalamikia 🐒

Lakini pili tabia ya ubinafsi na kujipa umuhimu wa kipekee kwamba yeye ndie hodariiii zaidi, anauchungu zaidi dhidi ya maisha ya waTz kumbe ni hadaa na wizi mtu, kutwa KUBETI tu 🐒
halafu mgumu kichizi kushare odds 🐒

Hivi hata wew ukiangalia humu nchini kuna Taasisi kweli iliokomaa, inayoaminika, yenye mipango na mikakati mahususi ya kuitikisa CCM imara na madhubuti hivi, achilia mbali kuing'oa ambako ni ndoto ya mchana kweupe?🐒

kwamba heche labda na kibaraka ndio wawashawishi wana CCM walio wengi waikane CCM wawaunge mkono heche, kibaraka na Taasisi ya o🤣
 
kwamba heche ndio anaweza keleta ahueweni au kumaliza kabisa matatizo hayo

na mbona hajabainisha mbadala wa mipango na mikakati ya kutatua matatizo hayo

kwamba with no alternative plans watu wakurupuke from no where wawaunge watu wasio na mipango mdala karne hii Tanzania?

Real?
kwamba wapo waTz karne hii kirahisi wabebwe u-ng'ombe na heche
Walimu wana kazi kweli
 
Back
Top Bottom