Pole sana Jakaya Kikwete

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,417
7,970
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
 
Tuhuma za ajabu sana. Kwa hiyo urais wa nchi mnapeana tu kisa marafiki.

Urais ni kazi inayopatikana kwa utaratibu. Pambana na utaratibu uwashinde wenzako kwa qualifications.

Tukiweka fair fair.. katika wagombea wote 40 walioomba nafasi za urais. CCM ya 2015 Nani alikuwa anamzidi Magufuli kwa utendaji kazi ?
 
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Ina maana mpaka leo hii hujui nguvu ya mtu akipewa urais wa Tanzania?
 
Wafu wazike wafu wenzao
I mean no malice to nobody
20230717_161510.jpg
 
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Mtandao wa 1995 to 2005 wote watakinywea kikombe kwa dhambi nzito walizotenda ili kuukwaa urais. Lowassa kaumiza wengi sana na JK zamu yake inakuja kisha Rostam.
 
Ishi kwa, ukweli ndugu, usiishi kwa, unafiki kama Kikwete. Na kama kitu hujui nyamaza. Nikija kwenye mada, moja, kwa moja, JK ndiye alikuwa, mwenyekiti wa CCM. Na alikuwa anamtaka nduguye Membe. Mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa, nchi. Kwa hiyo ana nguvu Sana. Pia, lazima ujue kwanza JK alianza kumfitini, boy two men mwenzake, kwenye uwazir mkuu. Alisababisha Lowasa, akajiuzuru. Aliwatumia kina, Mwekyembe ambao hata Kufika, pale kwenye msiba hawakufika, kutunga uongo dhidi ya Lowasa ili tu aondoke kwenye uwazir mkuu. Pia, spika, Sitta alitumika vibaya na JK. JK alifanya kitu mbaya Sana.
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.

Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
 
hebu nipe wewe maelezo ambayo rais pekee anaweza kuamua kitu na wengine wote wakakubali

Nakubaliana kuwa rais peke ake hawezi ila si kwa muda wote. Unaweza komaa ukamuweka mtu akahudumu wa kwa miaka 5 ama pungufu.

Magu aliweza mengi sana kuonesha nguvu ya rais.

Sema kudumu ndiyo shida. Hata JK angeamua kwa ushawishi wake oamoja na EL wangetoboa. Ila kama system isingetaka Lowassa asingedumu katika hiyo nafasi.
 
Membe alikuwa ni chaguo la JK na Lowassa alikuwa analijua hilo. Lowassa kwenye uchaguzi mkuu 2015 alikuwa anategemea zaidi wanamtandao wake na wale wajumbe wa NEC CCM kwani wengi walikuwa ni watu wake. JK kama rais na mwenyekiti wa chama akatumia madaraka yake kumuengua mapema Edo. Na Edo naye akaamua kumfanyia Membe umafia ili kumkomoa JK na ikalipa Membe akaenguliwa na ikabaki nafasi ya Ben Mkapa na akamleta JPM.
 
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Sawa Jk
 
Kwa CCM, mtu akiwa Rais, hakuna mtu yeyote wa kumpinga katika chochote anachokitaka, iwe ni katika nchi kwa ujumla au ndani ya CCM. Ndiyo maana unaweza hata kusikia kuwa Raisametoa bilioni 300 kujenga daraja au barabara au hospitali, licha yakwamba pesani za wananchi wote, lakini kwa CCM, hata pesa yote ambayo.imetokana na kodi za wananchi, ni pesa ya Rais. Ndiyo maana hata ukiwauliza waliokuwa wajumbe wa kamati kuu na Halmashauri Kuu, watakuambia wazi kuwa jina la Lowasa lilikatwa na halikupelekwa kwenye mkutano mkuu kwa sababu Rais (Kikwete) hakutaka.

Kwa hiyo ni hakika kabisa kuwa dhuluma dhidi ya haki ya Lowasa kuomba wajumbe wampitosbe kuwa mgombea wa Urais kupitoa CCM, ilifanywa na kusimamiwa na Kikwete. Hata wale ambao hawakupenda Lowasa jina lake liondolewe hawakuweza kufanya chochote kwa sababu ni desturi na utamaduni wa CCM, kutopinga wala kukosoa maamuzi ya Mwenyekiti na ambaye ni Rais.
 
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Usijifanye hujui wakati sote tunajua, ni Kikwete aliyeharibu njia ya Lowassa kuingia Ikulu huku akitumia hila na ufedhuli.

Hakuna kikao chochote cha CCM kilichokaa na kutengeneza orodha ya majina matano huku jina la Lowassa likiwa halimo. Kikwete alitoka na majina yake matano nyumbani kwake na alipofika kwenye kikao cha kamati kuu akatoa kwenye mfuko wa shati lake karatasi yenye majina matano aliyoyaandaa mwenyewe na kuwataka wajumbe wa kamati kuu wayape wasifu ili kupelekwa kwenye kikao cha halmashauri kuu siku itakayofuata.

Yote tisa, hata kura za urais zilipopigwa bado watanzania walimpa Lowassa kuongoza, lakini yule kikagula wa msoga akachezea matokeo kihuni na kumnyima ushindi Lowassa kimakusudi.

Nasema hivi, bora Mchawi kuliko JK.
 
Back
Top Bottom