Serikali inapaswa kuomba msamaha vijana kwa kuwakosesha fursa ya kuajiriwa kwenye vikosi vya ulinzi na usalama kwa zaidi ya miaka 8 nchini

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,876
10,593
Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko kimekoseha maelfu ya vijana kupambania fursa ya kuajiriwa kwenye vyombo hivyo.

Imagine mtu aliyemaliza chuo kuanzia mwaka 2014 au 2015 ambao hawakuwa na jkt kwa mujibu, akiwa na miaka 24 mtu huyu kwa sasa atakuwa na miaka 34 teyari automatic tu hataweza tena kupata nafasi kwenye vyombo hivi vya ulinzi nchini ili hali kipindi amemaliza chuo angeweza kupambania chance yake bila tatizo lolote..

Ni vyema serikali iombe radhi kwa kuwakosea vijana hawa ambao wengi wao leo hii ni jobless pengine kwa sababuyamaamuzi ya serikali.
 
Back
Top Bottom