Tanzania tuna Uhuru lakini wa bendera

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
171
210
Kwanini Uhuru wa bendera sheria nyingi znazotumika asilimia kubwa za mkoloni.

Mfano:

Sheria za Makosa ya Jinai
Sheria hii ni ya Mkoloni sheria hii inasababisha polisi, mahakimu, na majaji wanakua miungu watu, wanafanya Mambo ya kinyama, sana, kwa wananchi. Wakawaida wananchi masikini na wasiokua na watu serikalini tunaonewa Sana na sheria hii. mbovu ya mkoloni.

Sheria hii inawalinda sana Hawa watu niliowataja.

Polisi anaweza akaamua kukupa kesi yoyote hile. hata kama ya mauji uka kaa mahabusu hata miaka kumi bila ya kufanya Hilo kosa na hata.

Kama itathibika kesi hio polisi alikubambikia hakuna sheria yoyote. Inayo muajibisha huyo polisi aliokubambikia hio kesi hivyo. Hivyo kwa mahakimu na majaji mfano mdogo kesi ya yule mama wa Iringa maarufu mama wa swala kama wasinge tokea wana sheria wa TLS ina.

Maana yule mama angetumikia kifungo cha miaka 22. Jela ambayo Mahakama Kuu imesema hukumu aliopewa haikufuata Sheria lakini cha ajabu utakuta yule hakimu alio muhukumu yule.

Dada anapandishwa cheo Yani na shindwa kuelewa kwanini mpaka. Leo CCM inaikumbatia hii sheria kandamizi kwa watu.

Masikini na wsio na watu serikalini pole Sana Dada hao ndio ccm wamekufunga kwa kukuonea baada.

Yakugundua wamekukosea nawakaona kipindi hiki. Cha uchaguzi wakajifanya kuwatuma wanawake wa CCM kuingilia Kati Jambo ambalo teari tls walisha lianza hatari. Sana
 
Back
Top Bottom