Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni Chawa wa CCM

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Kwa jinsi walivyopatikana na kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi kuwa Wabunge Viti Maalum ni wazi kuwa ni chawa wa CCM. Kuthibitisha hilo ni jinsi Mihimili yote 3 inavyotumia nguvu kubwa kuwalinda licha ya ukweli kuwa CHADEMA haikuhusika katika Mchakato wao wa Kuteuliwa kuwa Wabunge Viti Maalum.

Mfano mdogo tu je, CHADEMA ingeweza kumtoa Gerezani mmoja wa hao Wabunge aende akaapishwe na SPIKA? Jibu ni HAPANA.

Mfano mwingine Angalia jinsi Spika anavyowakumbatia licha ya Mahakama kutamka katika Hukumu kuwa Wabunge hao sio wanachama wa CHADEMA kwani walifukuzwa kwa mujibu wa sheria na Katiba ya nchi inatamka wazi kuwa Huwezi kuwa Mbunge kama sio Mwanachama wa Chama cha Siasa.

Mfano mwingine ni Serikali kuendelea kuwalipa Posho na Mishahara ilihali ikijua SIO wanachama na sio Wabunge kwa mujibu wa Katiba.

Kutokana na yote hayo Wabunge 19 wasio na Chama ni CHAWA wa CCM.
 
Ruzuku waliyopokea CHADEMA ya shilingi bilion 2.7 imetokana na ubunge wa viti maalumu hao 19. Kama sio wanachama wa CHADEMA ,mlipokea ruzuku Kwa sababu gani? Najua hili swali ni gumu na unaweza usiwe na majibu yake Kwa sababu yawezekana hata kwenye "chain" ya matumizi ya hiyo ruzuku haupo.

Cha kukusaidia ,muulize Mbowe, Lissu na Mnyika wanajua Kila kitu
 
Kama hujui kitu jaribu kwanza kutafiti.
Kwa taarifa yako wabunge wa viti maalum hawana impact kwenye ruzuku ya chama.
Ruzuku ya chama hutokana na wingi wa kura walizo pata wabunge walio gombea majimbo na wingi wa kura mgombea urais wa chama husika.
Ambapo hizo kura ndizo pia hutoa wabunge wa viti maalum.
 
Ficha utaahira wako. Ruzuku inatokana na idadi ya kura za Urais,hata hiyo idadi ya hao wabunge 19 imekokotolewa kutokana na idadi ya kura za Urais.
 
Ruzuku waliyopokea CHADEMA ya shilingi bilion 2.7 imetokana na ubunge wa viti maalumu hao 19. Kama sio wanachama wa CHADEMA ,mlipokea ruzuku Kwa sababu gani? Najua hili swali ni gumu na unaweza usiwe na majibu yake Kwa sababu yawezekana hata kwenye "chain" ya matumizi ya hiyo ruzuku haupo.

Cha kukusaidia ,muulize Mbowe, Lissu na Mnyika wanajua Kila kitu
Wewe upo kwenye chain ya matumizi ya Chama gani?
Acha ushabiki wa vyama bali haki ni ipi
 
Ruzuku waliyopokea CHADEMA ya shilingi bilion 2.7 imetokana na ubunge wa viti maalumu hao 19. Kama sio wanachama wa CHADEMA ,mlipokea ruzuku Kwa sababu gani? Najua hili swali ni gumu na unaweza usiwe na majibu yake Kwa sababu yawezekana hata kwenye "chain" ya matumizi ya hiyo ruzuku haupo.

Cha kukusaidia ,muulize Mbowe, Lissu na Mnyika wanajua Kila kitu
Ruzuku inatokana na kura alizopata Lissu kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020. Hazitokani na kina Halima
 
Kama hujui kitu jaribu kwanza kutafiti.
Kwa taarifa yako wabunge wa viti maalum hawana impact kwenye ruzuku ya chama.
Ruzuku ya chama hutokana na wingi wa kura walizo pata wabunge walio gombea majimbo na wingi wa kura mgombea urais wa chama husika.
Ambapo hizo kura ndizo pia hutoa wabunge wa viti maalum.
HUYO NI MJINGA NA MPUMBAVU BORA UMEMWELIMISHA MKUU
 
Ruzuku waliyopokea CHADEMA ya shilingi bilion 2.7 imetokana na ubunge wa viti maalumu hao 19. Kama sio wanachama wa CHADEMA ,mlipokea ruzuku Kwa sababu gani? Najua hili swali ni gumu na unaweza usiwe na majibu yake Kwa sababu yawezekana hata kwenye "chain" ya matumizi ya hiyo ruzuku haupo.

Cha kukusaidia ,muulize Mbowe, Lissu na Mnyika wanajua Kila kitu
Huna unachokijua kuhusu RUZUKU unaleta hadithi za KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA
 
Ruzuku waliyopokea CHADEMA ya shilingi bilion 2.7 imetokana na ubunge wa viti maalumu hao 19. Kama sio wanachama wa CHADEMA ,mlipokea ruzuku Kwa sababu gani? Najua hili swali ni gumu na unaweza usiwe na majibu yake Kwa sababu yawezekana hata kwenye "chain" ya matumizi ya hiyo ruzuku haupo.

Cha kukusaidia ,muulize Mbowe, Lissu na Mnyika wanajua Kila kitu
Tumia kichwa kufikiri na sio Masabuli
 
Kwa jinsi walivyopatikana na kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi kuwa Wabunge Viti Maalum ni wazi kuwa ni chawa wa CCM. Kuthibitisha hilo ni jinsi Mihimili yote 3 inavyotumia nguvu kubwa kuwalinda licha ya ukweli kuwa CHADEMA haikuhusika katika Mchakato wao wa Kuteuliwa kuwa Wabunge Viti Maalum.

Mfano mdogo tu je, CHADEMA ingeweza kumtoa Gerezani mmoja wa hao Wabunge aende akaapishwe na SPIKA? Jibu ni HAPANA.

Mfano mwingine Angalia jinsi Spika anavyowakumbatia licha ya Mahakama kutamka katika Hukumu kuwa Wabunge hao sio wanachama wa CHADEMA kwani walifukuzwa kwa mujibu wa sheria na Katiba ya nchi inatamka wazi kuwa Huwezi kuwa Mbunge kama sio Mwanachama wa Chama cha Siasa.

Mfano mwingine ni Serikali kuendelea kuwalipa Posho na Mishahara ilihali ikijua SIO wanachama na sio Wabunge kwa mujibu wa Katiba.

Kutokana na yote hayo Wabunge 19 wasio na Chama ni CHAWA wa CCM.
wabunge wa COVID-19 ni wake na wachumba wa viongozi wa juu wa andamizi Chadema 🐒

haiwezekani mume kukomaa kuharibu kazi ya mkewe inayoleta msosi mezani mtamu sana wa uhakika mezani. Hiyo haiwezekani hata kidogo na haitawahi kutokea 🐒

wanachadema mmechezewa beat kali la mazuzu na viongozi wenu, mkaingia mazima kwenye 18zao, na sasa nmnacheza na muziki wa mazuzu vizur sana na wao na wake zao wanakula vizur kwa utulivu na amani 🐒

jitahidini kua chonjo wakati mwingine..

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Ruzuku waliyopokea CHADEMA ya shilingi bilion 2.7 imetokana na ubunge wa viti maalumu hao 19. Kama sio wanachama wa CHADEMA ,mlipokea ruzuku Kwa sababu gani? Najua hili swali ni gumu na unaweza usiwe na majibu yake Kwa sababu yawezekana hata kwenye "chain" ya matumizi ya hiyo ruzuku haupo.

Cha kukusaidia ,muulize Mbowe, Lissu na Mnyika wanajua Kila kitu

Kura milioni za uraisi, ubunge na udiwani na idadi ya wawakilishi "wa kuchaguliwa" ndio zina "justify" ruzuku wewe. Jielimishe kuhusu Ruzuku kwa vyama vya siasa. Hata CDM hao wabunge wasingekuwepo Ruzuku wangepewa walipata kura milioni kadhaa za Uraisi pamoja na kuwaibia.
 
Back
Top Bottom