Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu anayostahili.

Kwanza nimwambie dogo kwamba si Rais Samia aliyemfanya baba yake achelewe kufariki bali ni Mungu wake aliyeshikilia uhai wake kwa muda wote. Na akumbule kwamba clinically Edward Lowassa alifariki zaidi ya siku 18 kabla ya tarehe 10/2/2024 isipokuwa kilichokuwa kikidunda ni moyo wake kwa usaidizi wa mashine ambayo isingechomolewa angeendelea kudunda hadi leo lakini kwa busara za madaktari wanakuambia ukweli kwamba, "kwetu clinically huyu mtu ameshafariki " kazi inabaki kwenu familia tuchomoe mashine au la?

La pili kwa dogo Mtunga Sheria ni kwamba Lowassa alitibiwa kwa mujibu wa sheria ya mafao kwa viongozi namba 14. Sheria hii inataka mstaafu kama Waziri Mkuu atibiwe kwa gharama yoyote. Kwa hiyo asimshukuru Rais Samia maana matibu yake ni TAKWA la kisheria na si hisani ya Rais au mtu yeyote. Hata mawaziri Wakuu wastaafu waliosalia kama Sumaye, Warioba, Msuya, Malechela nao wanafanyiwa au watafanyiwa hivyo hivyo ili kukidhi TAKWA la kisheria.

Wanatibiwa kwa kodi za kila raia wa nchi hii bila kuangalia Vyama vyao. Tusitumie vibaya matibabu ya wastaafu wetu na vifo vyao kisiasa. Chadema, CCM, CUF, TLP, SAU, ACT, NCCR na wasio na Vyama wamemtibia Edward Lowassa.
Tuendelee kuwaomboleza Edward Lowassa, Balozi Dk. Deo Kamara, Dk. Ibrahim Msabaha na wengine wengi ambao hawajatangazwa.
 
Suala la Samia ametupa fedha, Samia ametoa fedha nk, ni wimbo ulioanzishwa na wajinga wachaache, na sasa umekuwa ndio lugha rasmi. Lakini inaonekana ni wimbo ambao Samia anaupenda, la sivyo angekuwa anarekebisha kuwa sio kauli sahihi, hatoi hizo fedha mfukoni mwake. Kimsingi, ni kwamba serikali ndio inatoa fedha.
 
Hitaji la katiba mpya liko bayana ili kuondokana na huu utaratibu wa upendeleo kwa viongozi.
 
Hii ni sawa na kumwambia Yesu Kristu ilikuwa ni wajibu wake kukukomboa kwa kukufia msalabani. Sijui unaelewa? Au kumwambia Mama yako alikuwa ni wajibu wake kukuzaa kwa sababu Katiba yetu inatoa haki ya mtoto kuzaliwa? What is wrong with you guys? Miaka 63 ya uhuru, bado huna shukurani? Huna adabu?
 
Mkuu mleta mada, nchi hii imejaa wajinga na wapumbavu wengi sana na wengi wao ni wale walioenda shule kufuta ujinga...
Mumsamehe bwana Fred.Kuna mambo yanayoendelea hatuwezi kuyaona kwa macho.
-kila akikumbuka mateso waliyoyapitia kama familia ya Lowassa hadi hali kubadilika si kitu kidogo.Waliteswa hasa kwa mambo ya siasa chafu.
-bado kuna hallucinations kwenye nafsi za wana familia,ndugu na marafiki wa Lowassa.
-maneno yamemtoka kutokana na uchungu wa msiba wa mzazi wake.The bitter words caught him without his awareness.
-anaishi kwa akili na tahadhari kupitia maneno ya mdomo wake.
 
Suala la Samia ametupa fedha, Samia ametoa fedha nk, ni wimbo ulioanzishwa na wajinga wachaache, na sasa umekuwa ndio lugha rasmi. Lakini inaonekana ni wimbo ambao Samia anaupenda, la sivyo angekuwa anarekebisha kuwa sio kauli sahihi, hatoi hizo fedha mfukoni mwake. Kimsingi, ni kwamba serikali ndio inatoa fedha.
Sio wajinga;ni MAZUZU.Ni wale wanaopenda kusifia hata pasipo na mantiki.Ni moja tabia za mazuzu/mazezeta kusifia ili kujipendekeza kutafuta 'privilege'
 
Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu anayostahili.

Kwanza nimwambie dogo kwamba si Rais Samia aliyemfanya baba yake achelewe kufariki bali ni Mungu wake aliyeshikilia uhai wake kwa muda wote. Na akumbule kwamba clinically Edward Lowassa alifariki zaidi ya siku 18 kabla ya tarehe 10/2/2024 isipokuwa kilichokuwa kikidunda ni moyo wake kwa usaidizi wa mashine ambayo isingechomolewa angeendelea kudunda hadi leo lakini kwa busara za madaktari wanakuambia ukweli kwamba, "kwetu clinically huyu mtu ameshafariki " kazi inabaki kwenu familia tuchomoe mashine au la?

La pili kwa dogo Mtunga Sheria ni kwamba Lowassa alitibiwa kwa mujibu wa sheria ya mafao kwa viongozi namba 14. Sheria hii inataka mstaafu kama Waziri Mkuu atibiwe kwa gharama yoyote. Kwa hiyo asimshukuru Rais Samia maana matibu yake ni TAKWA la kisheria na si hisani ya Rais au mtu yeyote. Hata mawaziri Wakuu wastaafu waliosalia kama Sumaye, Warioba, Msuya, Malechela nao wanafanyiwa au watafanyiwa hivyo hivyo ili kukidhi TAKWA la kisheria.

Wanatibiwa kwa kodi za kila raia wa nchi hii bila kuangalia Vyama vyao. Tusitumie vibaya matibabu ya wastaafu wetu na vifo vyao kisiasa. Chadema, CCM, CUF, TLP, SAU, ACT, NCCR na wasio na Vyama wamemtibia Edward Lowassa.
Tuendelee kuwaomboleza Edward Lowassa, Balozi Dk. Deo Kamara, Dk. Ibrahim Msabaha na wengine wengi ambao hawajatangazwa.
Tuliza tako au linawasha sana? Fred hajazungumzia habari ya gharama za kutibiwa. Samia alichomtendea Lowassa ni siri ya familia. Kinachokuudhi ni shukrani alizopewa? We una roho ya kichawi siyo bure.
 
Samia anaweza kushikilia uhai wa binadamu yeyote kama si kutoa huduma za kiafya kwa standard ya juu? Kubwa Jinga la Wiki (KJW).
 
Back
Top Bottom