TANESCO, kama mmeshindwa suala la umeme, ombeni ushauri kwa Wananchi

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,259
4,110
Dotto alikuja kwa kasi na kunakikao akazuia TANESCO wasiingie. Kwa hali inavokwenda ni dhahiri na yeye MFUPA umemshinda.

Nashauri wizara na TANESCO, shirikisheni wasomi, ombeni ushauri kwa wasomi watawasaidia. Dhambi ya kudharau wasomi ni kubwa.

Kinachonipa maswali ni enzi ya JPM , yule mwamba alistabilize ishu za umeme kabisa hakukuwa na shida watu wakasahau kabisa. Ilikuwa umeme ukikatika unajiuliza kuna nini ? Jeshi inapitisha mitambo ya siri au ?

ile Mama kuingia tu balaa likaanza; mafuta nayo yakapanda, by that time petrol was 1740 per liter , sijui kwa sasa ni kiasi !

Huyu jamaa aliweazaje?

Hayati Magufuli afufuliwe atupe funguo, usikute aliondoka nayo.

Huyu mwamba JPM ni kwamba was the most smartest and scientist president kuwahi kutokea?

Au ni baraka za ile PhD na udoctor wa kukaa darasani kabisa pasipo kutunukiwa !

Sielewi
 
Dotto alikuja kwa kasi na kunakikao akazuia TANESCO wasiingie. Kwa hali inavokwenda ni dhahiri na yeye MFUPA umemshinda.

Nashauri wizara na TANESCO, shirikisheni wasomi, ombeni ushauri kwa wasomi watawasaidia. Dhambi ya kudharau wasomi ni kubwa.

Kinachonipa maswali ni enzi ya JPM , yule mwamba alistabilize ishu za umeme kabisa hakukuwa na shida watu wakasahau kabisa. Ilikuwa umeme ukikatika unajiuliza kuna nini ? Jeshi inapitisha mitambo ya siri au ?

ile Mama kuingia tu balaa likaanza ; mafuta nayo yakapanda, by that time petrol was 1740 per liter , sijui kwa sasa ni kiasi !

huyu jamaa aliweazaje?

JPM afufuliwe atupe funguo, usikute aliondoka nayo.

Huyu mwamba JPM ni kwamba was the most smartest and scientist president kuwahi kutokea ?

au ni baraka za ile PhD na udoctor wa kukaa darasani kabisa pasipo kutunukiwa !

Sielewi
Tanesco endeleni na kazi nzur mnayoendelea nayo hivi sasa ya kuhuisha miundombinu ya umeme kote nchini.

Tunawaona mitaani tunawapongeza tunawaombe na tunawaunga mkono kwa kazi yenu nxuri sana...

Haya mengine kama hili, yawaimarishe na kuwapa nguvu zaid 🐒
 
Haya mengine kama hili, yawaimarishe na kuwapa nguvu zaid

Nimependa hapo

Seems you are a good politician. Haya mengine kama hili, dah
Halafu hapo ulipo upo Mapinga, unakula ugali dagaa huku unatumia mwanga wa simu ya tochi

Haya mengine kama hili
 
Bettery 6% dah 🤣
 
Dotto alikuja kwa kasi na kunakikao akazuia TANESCO wasiingie. Kwa hali inavokwenda ni dhahiri na yeye MFUPA umemshinda.

Nashauri wizara na TANESCO, shirikisheni wasomi, ombeni ushauri kwa wasomi watawasaidia. Dhambi ya kudharau wasomi ni kubwa.

Kinachonipa maswali ni enzi ya JPM , yule mwamba alistabilize ishu za umeme kabisa hakukuwa na shida watu wakasahau kabisa. Ilikuwa umeme ukikatika unajiuliza kuna nini ? Jeshi inapitisha mitambo ya siri au ?

ile Mama kuingia tu balaa likaanza ; mafuta nayo yakapanda, by that time petrol was 1740 per liter , sijui kwa sasa ni kiasi !

huyu jamaa aliweazaje?

JPM afufuliwe atupe funguo, usikute aliondoka nayo.

Huyu mwamba JPM ni kwamba was the most smartest and scientist president kuwahi kutokea ?

au ni baraka za ile PhD na udoctor wa kukaa darasani kabisa pasipo kutunukiwa !

Sielewi
Msidanganye watu hata wakati wa JPM mgao wa umeme ulikuwepo ila watu hawakuthubutu kusema. Labda unapokaa umeme haukuwepo.
 
Tanesco endeleni na kazi nzur mnayoendelea nayo hivi sasa ya kuhuisha miundombinu ya umeme kote nchini.

Tunawaona mitaani tunawapongeza tunawaombe na tunawaunga mkono kwa kazi yenu nxuri sana...

Haya mengine kama hili, yawaimarishe na kuwapa nguvu zaid 🐒
Staff unatetea maslahi 😃
 
Ni mwendo wa kuuza solar na generators tu.

Hapo Kariakoo leo walikuwa wanapita wafanyakazi wa Sunder na makabrasha na sample za sola wakipiga kampeni na kwamba pia wana huduma ya kukopesha sola,so mnaotaka sana starehe ya mwanga nunueni kwa bidii hivyo vitu viwili siku vikiisha na tanesco watawasha mwanga milele.
 
Tanesco ni ishara Samia ajitafakari kweli anataka kurudi ikulu au
 
Back
Top Bottom