Mzee Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu Awamu ya Nne yupo wapi?

troiker

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,429
2,264
Nilifuatilia kuagwa kwa mwili wa Hayati Edward Lowassa pale kalimjee hall sikuweza kumuona muheshimiwa Pinda na pale ndio ilikuwa sehemu sahihi ya viongozi mashuhuri na wastaafu kumuaga hayati Lowassa.

Je, kulikoni mzee wangu Pinda?

Anaejua alipo huyu mzee wetu atujuze
 
Nilifuatilia kuagwa kwa mwili wa hayati Edward Lowassa pale kalimjee hall sikuweza kumuona muheshimiwa Pinda,,na pale ndio ilikuwa sehemu sahihi ya viongozi mashuhuri na wastaafu kumuaga hayati Lowassa.

Je kulikoni mzee wangu Pinda?,
Anaejua alipo huyu mzee wetu atujuze
Atakuepo chombo acha wake kutujibu
 
Nilifuatilia kuagwa kwa mwili wa hayati Edward Lowassa pale kalimjee hall sikuweza kumuona muheshimiwa Pinda,,na pale ndio ilikuwa sehemu sahihi ya viongozi mashuhuri na wastaafu kumuaga hayati Lowassa.

Je kulikoni mzee wangu Pinda?,
Anaejua alipo huyu mzee wetu atujuze
Marehemu kashazikwa..??
 
Back
Top Bottom