TUJIKUMBUSHE: Vita ya Lowassa Urais na Rais Kikwete

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
SOMA HABARI YOTE KABLA YA KUCHANGIA TAFADHALI.

Edward Lowassa na Rais Jakaya Kikwete walikuwa ni marafiki wa dhati mbele ya macho ya watu. Kila mmoja kwa nafsi yake alikuwa na lengo lake. Mmoja aliongozwa na uzalendo huku mwingine akiongozwa na maslahi.

Naweza kuita urafiki wao ulikuwa ni urafiki wa mkakati au mashaka na sio wa misingi au dhamira. Ulitokana na kuunganishwa na baadhi ya sababu ila kuu ikiwa ni madaraka na mamlaka. Nitamke wazi kuwa Rais Kikwete alikuwa na lengo la kushika dola na kutenda kiuadilifu ila Lowassa alikuwa na nia ya kujineemesha yeye, familia yake na marafiki zake kwa kuzifuja rasilimali za taifa hili.

Nitawarejesha nyuma kidogo mwaka 1995 wakati wa mvumo wa kambi iliyoitwa Boys 2 Men kwenye mbio za urais ndani ya Ccm. Kambi hii iliundwa na makada wawili Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wakiwa na washirika wa pembeni na wa karibu kama kina Samweli John Sitta na Rostam Aziz.

Tofauti na Jakaya Kikwete na Samweli Sitta ambao waliongozwa na dhamira njema ya kuijenga Tanzania iliyo bora zaidi, Edward Lowassa na Rostam Aziz walikuwa na ajenda yao ya siri ambayo haikuwa na nia njema kwa nchi yetu. Wao waliwaza madaraka na mamlaka yenye kuwapa fursa za kiuchumi. Na taswira yao ndio iliyomponza Jakaya Kikwete.

Watu wa karibu na Rais Kikwete wanasema kuwa hata Mwalimu Nyerere hadi mauti yanamfika hakuwahi kuupenda urafiki wa Rais Kikwete na Edward Lowassa. Aliamini Rais Kikwete ni mtu makini anayetiwa doa na anayeamini ni rafiki yake wa dhati Edward Lowassa.

Kuna kiongozi mmoja ambaye mwaka 1995 alikuwa Balozi katika moja ya nchi duniani huko alienda kumwona Mwalimu Nyerere nyumbani kwake Msasani kwa minajili ya kumuuliza kama anaona Rais Kikwete alikuwa anafaa kwa wakati huo.Mwalimu Nyerere alimjibu kuwa kweli anafaa ila kuna siku atamwita ili waongee na kushauriana,na Mwalimu Nyerere kweli alifanya hivyo.

Siku ambayo Rais Kikwete aliitwa na kwenda kwa Mwalimu Nyerere alijikuta akifanya kosa la kiufundi.Kati ya alioongozana nao mmoja alikuwa na dosari naye sio mwingine bali ni Edward Lowassa.Mwalimu Nyerere alipoona Rais Kikwete kaongozana na Edward Lowassa aliahirisha kuzungumza alichotaka kuzungumza naye na kuwaambia kapata dharura hivyobasi atamtafuta siku nyingine.Ndipo Rais Kikwete alipong'atwa sikio na mtu mwingine tofauti kuwa Mwalimu Nyerere hakupendezwa na uwepo wa Edward Lowassa.

Lakini watu watajiuliza ni kwanini Mwalimu Nyerere alimchukia sana Edward Lowassa. Leo nitawaambia. Hizi ni baadhi ya sababu chache ila kuu ambazo zilimsukuma Mwalimu Nyerere kumwona ana kasoro likiwepo suala la uadilifu kwenye utumishi wa umma na chama kwa ujumla.

Mwaka 1983 ilitokea ziara ya watumishi tofauti wa Ccm kwenda Uingereza kujifunza masuala ya siasa na mmoja kati ya watumishi hao alikuwa Edward Lowassa.Wakiwa kule Edward Lowassa na wenzake walitembelea moja ya maduka makubwa ya nguo kwa ajili ya manunuzi ila cha kushangaza kutokana na kipato cha watumishi wa Ccm miaka ile kuwa kidogo kwasababu ya hali ya uchumi wa Tanzania kwa kipindi kile ila Edward Lowassa alimudu kununua jozi kumi za suti za gharama kitu kilichowaacha midomo wazi wenzake na hata wamiliki na wafanyakazi wa lile duka.

Waliporejea nchini Mwalimu Nyerere alipata taarifa juu ya manunuzi ya kufuru ya suti aliyofanya Edward Lowassa ambayo yalikuwa hayaendani na mshahara wake.Ndipo alipoamuru uchunguzi dhidi ya Edward Lowassa ufanyike.Ikagundulika alikuwa akijineemesha kifedha kupitia miradi ya chama ambayo kwa nafasi yake miaka ile alikuwa ndio anaisimamia kwenye ngazi ya mkoa hivyobasi hakuwa akiwasilisha mahesabu sahihi makao makuu ya chama.

Kama hiyo haitoshi mwanzoni mwa miaka ya tisini akiwa Waziri wa Ardhi aliwahi kuingia katika mgogoro na aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa idara ya mipaka ya kimataifa kwenye wizara hiyo aliyeitwa Jumanne Kamaka baada ya kumtaka aidhinishe kiasi kikubwa cha pesa kutoka katika idara yake ili kikamsaidie kwenye kampeni zake za urais.Mkurugezi yule alikataa na akatishia kuachia ngazi ili kulinda heshima yake kwa serikali.Hizi hitilafu chache miongoni mwa nyingi alizonazo za kimaadili za Edward Lowassa zilimshawishi kwa kiasi kikubwa Mwalimu Nyerere kutompenda Edward Lowassa.

Lowassa hakuanza leo kuhonga makundi ya kuandamana kumtaka agombee.Amewahi kufanya hivi hata kabla ya kuwa mbunge wa jimbo la Monduli.Alipojiona kuwa anautaka ubunge wa Monduli,alianza kutumia makundi ya vijana ili yaandamane kuonesha kuwa jamii ya kwao inamhitaji.Na katika hili alitumia vibaya fedha za AICC kutimiza matakwa yake.Ni kipindi ambacho alikuwa Mkurugenzi wa AICC.Fitna hizi alizifanya dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Monduli zama zile,Mzee Lumomo.

Haya maovu ya Lowassa ni machache kati ya mengi kama nilivyosema awali kuwa yalimkera sana Mwalimu Nyerere.Ilipotimu mwaka 1995 Lowassa alidhamiria kwa dhati kuwa rais kama ilivyo sasa lakini alijificha nyuma ya kivuli cha Rais Kikwete kama msindikizaji ili kukwepa "panga" la Mwalimu Nyerere.Na ili kujipambanua mbele ya jamii ya taifa hili Lowassa alitumia mamilioni ya shilingi aliyovuna kwenye biashara haramu ya ardhi na mfanyabiashara tapeli Baghdad akiwa Waziri wa ardhi kwenye kuhonga waandishi wa habari na kuigawa Jumuiya ya Vijana ya Ccm.

Magazeti mengi nchini yalimwandika yeye kwa habari za kumpamba kama ilivyo sasa.Vijana ndani ya Uvccm walitoa matamko ya kumuunga mkono kwa pesa alizowahonga.Kubwa kuliko ni pale alipokodi ndege binafsi kwa ajili ya kuzunguka mikoani kukusanya saini za wadhamini wa fomu yake ya urais.Hapa ndipo Lowassa alipomuingiza mkenge Rais Kikwete kwa kumwambia atamsaidia lifti katika ndege aliyokodi ili azunguke naye kusaka wadhamini mikoani wa fomu zao za urais.

Wazee ndani ya Ccm walimshangaa sana Lowassa hususani juu ya ukwasi wake wakati ule ambao Tanzania haikuwa na hali nzuri ya kiuchumi hadi kufikia kukodi ndege binafsi.Mwalimu Nyerere hakulipenda hili.Ni kwasababu Lowassa aliishi kifahari mbele ya jamii masikini.Hili jambo likawa moja ya sababu kati ya nyingi zilizomfanya yeye Mwalimu Nyerere kushinikiza kuondolewa kwa jina la Lowassa kwenye mbio za urais mwaka 1995.

Sababu hii pia ilimponza Rais Kikwete.Na ilichochea zaidi wakati wa mahojiano ya Kamati Kuu na wagombea urais ambapo Mwalimu Nyerere alimuuliza Rais Kikwete endapo akichaguliwa na chama chake kuwa mgombea urais kwa wakati ule je ni nani angekuwa Waziri Mkuu wake!?Rais Kikwete bila kujua anajikaanga alimtaja Edward Lowassa.Hili likamponza na kumfanya naye aenguliwe kwenye "kipute" kile cha urais kupitia Ccm.Ishara iliyopo ni kwamba Lowassa ana damu ya kunguni mbele ya waitakiao mema Tanzania.

Lowassa aliamua kurudi Monduli ili agombee ubunge baada ya kuona kwenye urais mambo yamemuendea mrama.Na hata baada ya kugombea na kushinda ubunge wa Monduli bado hakuteuliwa kwenye baraza la kwanza la mawaziri la Mzee Mkapa.Hili lilimchanganya na kuwa mlevi kupindukia hadi pale Askofu Leizer wa KKKT alipomfuata Mzee Mkapa na kumwombea amteue.Mzee Mkapa alimteua uwaziri wa Mazingira kwenye ofisi ya Waziri Mkuu baada ya miaka miwili ya kusota benchi bila uwaziri.Uamuzi wa Mzee Mkapa kumteua Lowassa kwenye nafasi ya uwaziri ulimsononesha sana Mwalimu Nyerere.

Hadi awamu ya miaka mitano ya mwanzo ya uongozi wa Mzee Mkapa inamalizika urafiki kati ya Rais Kikwete na Lowassa uliendelea kuwepo.Lakini,Lowassa hakuwa rafiki wa dhati wa Rais Kikwete.Na ushahidi usiopingika ni kwamba Lowassa alifurahia sana kifo cha Mwalimu Nyerere akijua fika atampiku Rais Kikwete ndani ya Ccm.Na ndio maana Lowassa hakushiriki kwenye mazishi ya Mwalimu Nyerere ila ajabu ni kwamba mwaka huu ameshiriki kinafiki kwenye mazishi ya mtoto wa Mwalimu Nyerere aitwaye John Nyerere.

Lakini ambacho Lowassa hakujua ni kwamba Rais Kikwete alikuwa makini naye na tangu mpambano wa 1995 uishe ndani ya Ccm alianza kuishi maisha ya kuja kuwa rais wa awamu ya tano kwa kuwa makini na makandokando kitu ambacho Lowassa aliyezoea maisha ya kuhujumu mali ya umma alishindwa kuyaishi maadili ya uongozi.

Mwaka 2005 ilipokaribia muda wa uchaguzi ndani ya Ccm,Lowassa alidhamiria kuchukua fomu ya kugombea urais na aliunda genge lake la kampeni akishirikiana na- Rostam Aziz pamoja na Nazir Karamagi.Hawa niliowataja hapa ndio vinara wa ufisadi nchini na ndio hadi sasa wanamsaidia Lowassa kwenye vita ya kuwania rais dhidi ya kada msafi.

Kwa tuliokuwa tukihudhuria vikao vya mikakati juu ya upangaji wa timu ya kumsaidia Rais Kikwete kipindi hiki tuliiona tamaa ya Lowassa kwenye urais ila tukaamua kutumia busara kumshauri asigombee- naye akakubali kwa masharti kuwa ateuliwe kwenye nafasi kubwa kwenye serikali ya awamu ya nne.

Ndipo tukaunda timu ya kampeni ya kumsaidia Rais Kikwete na Lowassa pia akiwa sehemu ya timu hii.Kama mnavyojua timu ya kampeni ya Rais Kikwete iliundwa pia na makachero waliokubuhu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa,hawa pamoja na kuwa sehemu ya mikakati ya kumsaidia Rais Kikwete katika kampeni zake ila pia walijitolea kufanya kazi ya kumchunguza Lowassa kama kweli alikuwa na nia ya dhati ya kumsaidia Rais Kikwete na ikaja kugundulika kuwa Lowassa alidhamiria kumpinga Rais Kikwete ikifika mwaka 2010.

Baada ya ushindi wa Rais Kikwete mwaka 2005 Lowassa aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu japo ilikuwa ni baada ya Rostam Aziz kumfitini Samweli Sitta aliyekuwa chaguo la Rais Kikwete.Baada ya Lowassa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu alianza hujuma dhidi ya Rais Kikwete.Baadhi ya hujuma hizo ni;alianzisha utaratibu wa kuwapigia simu baadhi ya watu waliokuwa wanateuliwa na Rais Kikwete kwenye nafasi mbalimbali serikalini na kuwalaghai kuwa yeye ndio kapendekeza wateuliwe maana Rais Kikwete alikuwa hataki kabisa.

Hii ilimsaidia Lowassa kuaminika kwa baadhi ya wateule wa Rais Kikwete na wengi wao wakiwa ni wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa manispaa na halmashauri,wakurugenzi wa mashirika pamoja na mawaziri na naibu mawaziri.Alikuwa akifanya hivi ili kudhoofisha serikali ya Rais Kikwete.Lowassa alikuwa akijitengenezea njia ya kwenda ikulu kwa kujiwekea mazingira ya kuabudiwa na hawa watumishi wateuliwe wa Rais Kikwete na hatimaye hata wao wakapoteza usikivu kwa Rais Kikwete.

Haya yote Rais Kikwete hakuyajua hadi pale siku alipotaka kuteua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania.Rais Kikwete alipanga kumteua David Mattaka ila kwakuwa Lowassa na aliyekuwa Waziri wa Miundombinu wakati ule na mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge hawakumtaka kwasababu hakuwa akiunga mkono uchafu wao walihakikisha wanampigia simu ili kumvujishia siri kuwa atateuliwa kuongoza Shirika la Ndege la Tanzania na kwamba yeye Lowassa amempigania sana hadi uteuzi wake kuidhinishwa na Rais Kikwete,nia ya Lowassa ikiwa ni kuabudiwa na David Mattaka na kuhakikisha anajitengenezea mazingira ya kuwa rais ikifika 2010 kwa kuungwa mkono na kila kiongozi ndani ya serikali.

Watu mnaweza kujiuliza ni kwanini Idara ya Usalama wa Taifa ilikuwa kimya juu ya hujuma za Lowassa dhidi ya Rais Kikwete!?Kwa kawaida idara hii huwa inafanya kazi kwa kukusanya ushahidi wa kutosha kabla ya kuwasilisha ripoti yake mbele ya taasisi husika.Wakati wakijiandaa kupeleka ripoti yao ndipo kukafuka moshi wa skendo mbili kubwa nchini ambazo moja ni ile ya Richmond na NIC.Ila hii ya NIC ilizuiwa mapema kabla ya kutokea na siku ya leo nitaiongelea kidogo ili kuwapa faida watanzania wenzangu.

Richmond inajulikana sana,naomba nisiiongelee tena.Nitaizungumzia hii ya NIC ambapo Lowassa alikula kamisheni ya dola milioni mbili akishirikiana na Ole Naiko aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania.Katika skendo hii Lowassa alikubaliana na mmoja wa matapeli wakubwa duniani kumpatia NIC ili aiendeshe na kisha magari yote yawe yanakata bima kwenye kampuni binafsi ya bima inayomilikiwa na Lowassa iitwayo Alfa Insurance Company yenye makao makuu yake jijini Dar es salaam.

Ndipo Idara ya Usalama wa Taifa ilipoamua kuwasilisha ripoti yake juu ya maadili mabaya ya Lowassa kwa Rais Kikwete.Rais Kikwete alipoisoma alighafirika sana.Aliumizwa sana na mkakati wa Lowassa ulioitwa OP yaani "One Term President" ikiwa ni mpango wa kutaka Rais Kikwete aongoze nchi kwa mhula mmoja 2005-2010.Kisha Lowassa agombee kwa ajili ya mihula miwili 2010-2020.Kisha Lowassa akapanga kuwa endapo mkakati huu utakwama basi ifikapo 2012 amvue kofia ya uenyekiti wa chama Rais Kikwete.

Washirika wakuu katika mikakati hii tulikuwa mimi,Hussein Bashe,Lawrence Masha,Rostam Aziz na Nazir Karamagi.Ndipo kwa kutumia turufu yake ya ukuu wa nchi na kiongozi mkuu wa chama alipofikishiwa ripoti ya Richmond dhidi ya Lowassa alimwajibisha na sio kama kweli Lowassa alijiuzulu kwa maslahi ya serikali na chama kama inavyozungumziwa na baadhi ya watu.

KWA UKAWA NA MAKAMANDA:

NIMEILETA KWENU ILI KUWAFAHAMU VIONGOZI WENU VYEMA KABLA YA KUTOKWA MATE MAJUKWAANI NA MITANDAONI.
 
Hii story nilipenda kuifahamu zaidi ila sikubahatika.
Sasa ngoja nikae vizuri mwanzo mwisho.
Ubarikiwe mkuu.
 
Kwa wenzetu upande wa pili hujifanya makini sana na bora na kuwa wako kwa utetezi wa rasilimali za nchi yetu. Kiukweli huwa wanakosa upeo na hata wakielezwa kitu ni wabishi wenye matusi.

Nimtie shime Mhe Magufuli raisi wetu aendeleze mapambano dhidi ya wezi wa rasilimali za taifa hili wapo wengi waliojificha nyuma ya vyama vya siasa vyote CCM, CHADEMA, CUF, ACT na vingine vingi vilivyobaki.
 
Uchelewaji wa kuchukua ripoti na kuifanyia kazi kwa wakati nao huwa ni a in a nyingine ya ufisadi kwenye uongozi sasa kama hayo makandokando yote bado sijawahi kuona hatua zikichukuliwa kwa muhusika hapo ndipo ufisadi wa kiuongozi ulipo acheni hizo siasa majitaka kama kuna viongozi makini na Lowassa anamakandokando mbona hachukuliwi hatua hata za kisheria tuu??
 
4d47857c0626fed6e781510877a63d90.jpg
437ac59df1ae69bca994274b301c3e4b.jpg
3ec982fe019cecf0ee23229fbd8ee42d.jpg
yote uliyo andika ni ukweli mtupu japo ukweli mchungu lkn mzee kikwete alifanya kosa kubwa kwenye maisha yke kuliko kuwa karibu mh lowasa kumuachia nchi bwana huyu hakika atajutia swala ilo mpk mwisho wa maisha yke...
 
Ni kushukuru mungu katuepusha na janga kubwa. Japo Magufuli ni binadamu anamapungufu yake mengi tu lakini kwa huyu mheshimiwa EL tungeula wa chuya. Kwani mipango iliyokuwa imebuniwa na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje ya nchi yetu kwa kumchangia michango mikubwa ya fedha, kuhakikisha anaingia ikulu, ilikuwa ni janga kubwa kwa watanzania haswa kwenye upotevu wa rasilimali zetu (GAS, OIL, MADINI, ARDHI N.K).

Acheni kijilo kiitwe kijiko na si uma.
 
Kwa wenzetu upande wa pili hujifanya makini sana na bora na kuwa wako kwa utetezi wa rasilimali za nchi yetu. Kiukweli huwa wanakosa upeo na hata wakielezwa kitu ni wabishi wenye matusi.

Nimtie shime Mhe Magufuli raisi wetu aendeleze mapambano dhidi ya wezi wa rasilimali za taifa hili wapo wengi waliojificha nyuma ya vyama vya siasa vyote CCM, CHADEMA, CUF, ACT na vingine vingi vilivyobaki.
Walau leo tumesoma thread ya kueleweka maana siku hizi jamvi letu hili limekua kama jangwa:)
 
Aiseeh hii nondo si ya nchi hii, nmeipenda Sana. Ingawa nipo kwenye kitengo lakini sikuwahi pata haya mafile, ngoja nianze kuyasaka
mkuu hii nondo ulichelewa kuipata kuna bro wangu alkuwa na urafiki na mbunge mmoja kijana wa CCM alikuja hom pale sikukuu moja akatupa full movie mpk nmehisi ndo huyu mweny uzi

Alichosahau kusema ni kuwa awa jamaa plus Sitta hii nchi walikuwa wameiweka mfukoni....

Iko hivi.....

Baada ya Kikwete kupita kugombea alimteuwa Lowasa km mgombea mwenza(makamu wa Rais) kama sharti alilotoa baada ya kumzuia kugombea na Sitta awe waziri mkuu, wazee wa CCM wakiongozwa na Malcela wakamkumbsha kikwete yupo shein ambaye alkuwa ana miaka mitano baada ya kufa Omary juma 2001, so ile safi ikabadlka ikawa Kikwete, Shein Lowasa prime minister, Sitta akapewa chance ya kuwa Speaker nafsi ambayo aliipokea kwa shingo upande.

Hiki ndo kisa cha Sitta kuwaptia wapinzani nafsi na wale wabaya wa kikwete na Lowasa na wao kuhitumia vizuri kumkaanga vilivyo, wengine wakashikwa uchawi bungeni, Mkakati ukaandliwa wa kumng'oa Sitta bungeni, Kwa Legacy ambayo alishaaiweka bungeni ikaonekana itakuwa ngum kdogo, mkakati ukawa ni bunge ili litaongozwa na spika mwanamama Sitta akajikuta nje automatically......

Wakampoza kwa kumpa uwenyekiti wa NATIONAL INVESTMENT CENTER nic wakti huo Rostam akiwa na utaratibu wa yeye kuwa kila mwekezaji akija bongo lazma amkatie 10% ndo uruhusiwe kuwekeza tanzania......dah
 
Back
Top Bottom