Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa...
22 Reactions
47 Replies
4K Views
Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitika sana kwa kushidwa kazi aliyopewa gavana wetu wa bank kuu Florens Luoga. Huyu gavana ni chaguo baya sana ambalo limewahi kutokea. Tujue tu kwamba huyu professor ni mwanasheria na sio...
50 Reactions
103 Replies
13K Views
Nimewataja hao waheshimiwa wabunge wetu. Naheshimu ubunge wao. Lakini baadhi ya maneno yatokayo midomoni mwao yanaleta ukakasi. 1. Mtu atakuwaje mwalimu wa biashara wakati hana hata kiosk. Huu ni...
4 Reactions
17 Replies
952 Views
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nitashukuru Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu mkatoa maelezo kwa umma ni kwa vipi wakati pricing list ya 2016 (NHIF) inatolewa bei ya petroli ilikuwa shilingi chini ya 1700 kwa lita dola moja...
5 Reactions
7 Replies
900 Views
Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa. Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila...
50 Reactions
70 Replies
5K Views
Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Mikoani, kwamba Baada ya Mafanikio ya Maandamano ya Amani katika Majiji manne , Maandamano hayo yameanza kutakiwa kila Mkoa. Taarifa zinaonyesha kwamba Mkoa wa...
20 Reactions
63 Replies
4K Views
Heko Hayati JPM kwa uamzi huu ambao hukusikiliza kelele za wachumia tumbo na wanasiasa wajaza tumbo, kwao nchi badaye ila tumbo ndio kipaombele chao. Miongoni mwao mwa wanaohitajika kufika kwa...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi. Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana...
19 Reactions
124 Replies
7K Views
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu 1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Niliwahi kusikia kwa Mwalimu wangu kuwa historia ina tabia ya kujirudia na kwamba hakuna jipya chini ya jua. Kwamba hata haya mavazi na fasheni zake si jambo jipya. Yaliwahi kuwepo kwa nyakati...
3 Reactions
8 Replies
873 Views
Tuwekane tu sawa kwamba Rais akistaafu anaendelea kutoa Usaidizi kwa Rais aliyeko madarakani ama kwa kumshauri na hata Kutumwa majukumu tofauti tofauti Ni hilo tu Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa Mbunge wao, Profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
A fossil is sometimes regarded as dead rock but with engraves of dead insects, tiny animals or plants...... That's is our life, we leave footprints to whatever we do... From beginning to the very...
19 Reactions
62 Replies
9K Views
Nyumba inayodaiwa kuwa ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko Mikocheni, jijini Dar es Salaam, imekamatwa kwa ajili ya kupigwa mnada, ili kulipa deni la malimbikizo ya...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Kuuliza sio ujinga ni kutaka pia kujifunza.Hukumu ya Mahakama kuu iliyotolewa Desemba 2023 juu ya Kesi ya kupinga Kufukuzwa Uanachama wa Chadema ilitamka wazi kuwa Halima na Genge lake Walifukuzwa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe ametangaza kuwa sasa Maandamano yatakuwa Utamaduni wa maisha ndani ya Chama chao. Source: Chadema Tz
2 Reactions
7 Replies
969 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…