Chadema: Sasa Maandamano yatakuwa Utamaduni wetu wa maisha

Kwahiyo unamuomba Mungu akuletee Dikteta mwingine?

Mungu sio mjinga Dua na Sala zetu Watanzania zilishapokelewa.
Kwa hiyo unasema Mbowe ni Dikteta.

Saa nyingine ushabiki wako huwa una utata, unakurupuka tu.

Hebu soma uelewe badala ya kukurupuka na kuanza kufukuzana na makaburi..

Huyo mungu wako ni mjinga sana. Qumaniner zake.
 
Sasa hv nashauri maandamano yetu tuyafanye kimataifa zaidi, tuanzie hapa Afrika Mashariki, twende nchi za kusini mwa jangwa la Sahara then tumalizie na Ulaya na Marekani.
 
Back
Top Bottom