TUMEPIGWA? Hili ni treni la SGR nchini Kenya miaka sita iliyopita. Gari linaifukuzana nayo kwa speed ya 120 Km/Hour

Kila kitu sisi tuko nyuma tukianza na tunaanza ovyo ovyo!

BRT ya Nigeria miaka 10 iliyopita ilikuwa bora kuliko hii ya sasa ya kwetu.

Nairobi wana express road, sisi tunahangaika na BRT hata kwenye njia zisizohitaji BRT.
 
Punguzeni ujuaji hiyo DMU ya Kenya inatembea sawa na diesel lokomotives zetu za MGR za TRC ambazo zililetwa mpya zikikadiriwa mwendo 80kmph kwa optimal maximum 120kmph.

Na pia hamjaangalia hiyo treni imetembea kwa umbali gani mpk mkapima.

Treni ya jana ilikua katika majaribio na ilitembea kilometa 200+ kwa masaa mawili,maana ilisimama kituo cha Mkundi kuelekea Kilosa sio maeneo ya Msamvu.

Na ile ilikua katika optimal speed ya majaribio.

PUNGUZENI UJUAJI WATZ.
 
Kila kitu sisi tuko nyuma tukianza na tunaanza ovyo ovyo!

BRT ya Nigeria miaka 10 iliyopita ilikuwa bora kuliko hii ya sasa ya kwetu.

Nairobi wana express road, sisi tunahangaika na BRT hata kwenye njia zisizohitaji BRT.
Hapa kwenye BRT kuna changamoto kubwa.
Ni Bora zingejengwa ring roads, fikra na plan za mwaka 47 zinafanyiwa kazi leo. Mchina anachukua pesa anaenda kujenga kwao kisasa.

Jiji lipanuliwe kwa kujenga barabara nzuri za mzunguko na mipango miji bora badala ya kufikiria ile ya mkoloni.

Bado kuna watu wanaofikiria Dar es salaam ni ubungo, mwenge hadi posta.
 
toa usengee wako hapa yale mamitumba ndo unasema mpya? Sjui mijitu ya ccm huwa ikoje, ujuaji wa wp bhana mambo mangapi mmetupiga na hakuna jipya.
Unaonesha unaendeshwa na mihemko pasi na kuwa mpembuzi.
Sawa serikali ina madudu yake ILA USIWE FALA WA KUKOSOA KILA KITU.
Treni ya DMU ya Kenya nimefananisha na DIESEL LOKOMOTIVES ZA MGR ZA TANZANIA.
Sijui umeelewa nachozungumzia!?
Pia hizo zipo katika majaribio punguza uzwazwa na kuwa factual wacha matusi na usome kwa kuelewa.
 
Walikuwa wanatest ili kuonesha kuwa hizo hela walizotuibia wamefanya kitu!!
Bajeti ya mradi mzima wa SGR iliyokadiriwa enzi ya Magufuli itakuja kuwa mara kumi mradi huu ukiisha!! Ndio maana ukiwauliza mpaka sasa mradi umekula kiasi gani hawawezi kusema na Samia anazidi kuzurula nje kwenda kukopa akiongozana na madalali wake!!😹
 
Back
Top Bottom