Rais Mstaafu ni Msaidizi wa Rais aliyeko madarakani ndio sababu anaweza Kutumwa kumwakilisha Rais kwenye shughuli mbalimbali!

Tuwekane tu sawa kwamba Rais akistaafu anaendelea kutoa Usaidizi kwa Rais aliyeko madarakani ama kwa kumshauri na hata Kutumwa majukumu tofauti tofauti

Ni hilo tu

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Ficha eneo "oevu/uchi" kwa mbawa.
Sheria gani, iwe katiba ama ya utumishi wa umma inasema raisi mstaafu atakuwa msaidizi wa Raisi ajaye ?

Mpinzani, say Lissu akiwa Rais, Baada akistaafu na Ndugai kawa rais, Ndugai anaweza kuwa msaidizi wa Lissu?

Nyerere aliendelea kuwa msaidizi wa Mwinyi?

Mwinyi aliendelea kuwa msaidizi wa Mkapa?

Mkapa aliendelea kuwa msaidizi wa Kikwete?

Kikwete aliendelea kuwa msaidizi wa JIWE , Shujaa/Magufuli/ Bulldoza?
 
Ficha eneo "oeevu" kwa mbawa.
Sheria gani, iwe katiba ama ya utumishi wa umma inasema hivyo?
Nyerere aliendelea kuwa msaidizi wa Mwinyi?
Mwinyi aliendelea kuwa msaidizi wa Mkapa?

Mkapa aliendelea kuwa msaidizi wa Kikwete?
Kikwete aliendelea kuwa msaidizi wa JIWE , Shujaa/Magufuli/ Bulldoza?
Mwinyi alimtuma Nyerere ampokee Nelson Mandela alipotoka Gerezani na kuongea naye Ikulu, mzee Rukhsa alikuwa safari

Kawaida Sana bwashee 😂
 
Tuwekane tu sawa kwamba Rais akistaafu anaendelea kutoa Usaidizi kwa Rais aliyeko madarakani ama kwa kumshauri na hata Kutumwa majukumu tofauti tofauti

Ni hilo tu

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Tuwekane Sawa, kumtuma Rais mstaafu kikazi ni matakwa na uamuzi wa Rais aliyepo madarakani na sivinginevyo. Hakuna mahali kwenye katiba yetu inasema Rais mstaafu ni msaidizi wa Rais aliyepo madarakani na anaweza kumtuma kazi au kumuwakilisha. Hivyo ni matakwa ya Rais mwenyewe kama alivyofanya hangaya juzi kumtuma kijana wake abdul kwenda kuonana na Rais wa Uganda
 
Nyerere aliendelea kuwa msaidizi wa Mwinyi?
Mwinyi aliendelea kuwa msaidizi wa Mkapa?

Mkapa aliendelea kuwa msaidizi wa Kikwete?
Kikwete aliendelea kuwa msaidizi wa JIWE , Shujaa/Magufuli/ Bulldoza?
Samia & kikwete ni hao wawili tu waliopatana kusaidiana, ukuchunguza utawala wa awamu ya nne ilivyokuwa utagundua ndivyo ulivyo kwa awamu hii ya sita yaani viongozi wezi ndio wametamalaki.

Ukitoa kikwete, wastaafu wengine hawakuwahi kufanya huo ujinga.
 
Back
Top Bottom