CHADEMA njia Panda, Mikoa yote Tanzania inataka Maandamano ya Amani. Wadai Mikoa Minne pekee haitoshi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Mikoani, kwamba Baada ya Mafanikio ya Maandamano ya Amani katika Majiji manne , Maandamano hayo yameanza kutakiwa kila Mkoa.

Taarifa zinaonyesha kwamba Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa Wananchi wake kuyataka maandamano hayo ya amani , ambayo mbali na wananchi kuyatumia kama njia ya kuelezea kero zao , ikiwemo ugumu wa maisha ambao haujawahi kutokea tangu Nchi hii ilipopata Uhuru wake, lakini inasemekana Heshima ya Mkoa yanapofanyika Maandamano hayo huongezeka mara dufu , inadaiwa kwamba wanaoshiriki maandamano wanaonekana kama watu wanaojitambua na wenye akili timamu .

Bali Swali letu ni hili, Je Chadema wataweza kutimiza Takwa hili muhimu la Wananchi kote Tanzania ?
 
Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Mikoani , kwamba Baada ya Mafanikio ya Maandamano ya Amani katika Majiji manne , Maandamano hayo yameanza kutakiwa kila Mkoa .

Taarifa zinaonyesha kwamba Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa Wananchi wake kuyataka maandamano hayo ya amani , ambayo mbali na wananchi kuyatumia kama njia ya kuelezea kero zao , ikiwemo ugumu wa maisha ambao haujawahi kutokea tangu Nchi hii ilipopata Uhuru wake , lakini inasemekana Heshima ya Mkoa yanapofanyika Maandamano hayo huongezeka mara dufu , inadaiwa kwamba wanaoshiriki maandamano wanaonekana kama watu wanaojitambua na wenye akili timamu .

Bali Swali letu ni hili , Je Chadema wataweza kutimiza Takwa hili muhimu la Wananchi kote Tanzania ?
Ndoto za usiku wa manane wakati mbu wa malaria waking'ata
 
Acha bangi wewe
 
Wizi wa mali za umma, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na office za umma, unyonyaji na sheria mbovu
Haya mambo yapo serikali karibu zote duniani, na hao wapinzani nchi NYINGINEZO waliopata kuchukua madaraka, wanafanya hayo hayo, na zaidi ya hayo. Na pia wapinzani wanakuwepo kila nchi, nyie hakuna jipya chini ya jua ambalo Mbowe na Lissu wanawezaleta nchi hii zaidi ya kuja kuiba tu.
 
Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Mikoani , kwamba Baada ya Mafanikio ya Maandamano ya Amani katika Majiji manne , Maandamano hayo yameanza kutakiwa kila Mkoa .

Taarifa zinaonyesha kwamba Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa Wananchi wake kuyataka maandamano hayo ya amani , ambayo mbali na wananchi kuyatumia kama njia ya kuelezea kero zao , ikiwemo ugumu wa maisha ambao haujawahi kutokea tangu Nchi hii ilipopata Uhuru wake , lakini inasemekana Heshima ya Mkoa yanapofanyika Maandamano hayo huongezeka mara dufu , inadaiwa kwamba wanaoshiriki maandamano wanaonekana kama watu wanaojitambua na wenye akili timamu .

Bali Swali letu ni hili , Je Chadema wataweza kutimiza Takwa hili muhimu la Wananchi kote Tanzania ?
Sawa tangazeni maandamano Nchi nzima muone kama yataleta Katiba Mpya na ugali mezani kwenu
 
Back
Top Bottom