Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://m.youtube.com/watch?v=kpxhBBVrXfk Kiongozi wa Chama cha Ukombozi wa Umma - CHAUMMA mheshimiwa Hashim Rungwe akilaumu chama kongwe dola CCM kwa matendo yake, na kusema kuwa huu ni ukatili...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za...
31 Reactions
267 Replies
26K Views
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet...
76 Reactions
200 Replies
14K Views
Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana . Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi...
10 Reactions
78 Replies
5K Views
Janeth Rithe amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa ngome ya wanawake ya chama cha ACT- Wazalendo, huku akianika vipaumbele vyake 10 atakavyovitekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa Machi 2...
0 Reactions
3 Replies
692 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa moja kati ya mambo ambayo hayapendi, ni viongozi ambao hawatimizi majukumu yao na kuanza kutafuta sababu, huku akiwapa jina la wasanii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili...
18 Reactions
86 Replies
5K Views
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko. Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20. Mahindra tech? Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Ninawashauri CHADEMA wabadili kauli mbiu yao kutoka; "Peoples Power" na kuiita "Nguvu, Nguvu ya Umaa". Sababu ya kushauri hivyo, sisi ni Waafrika kwanini tusitumie Kiswahili chetu katika mambo...
2 Reactions
11 Replies
637 Views
Hivi ni nani kwa hali hii ya Umeme hajapata athari za kiuchumi, kijamii na hata kiuhai? Watu wamefilisika, biashara zimekufa, wamepoteza uhai na kadhalika kwa uongozi wa chama cha mapinduzi...
1 Reactions
7 Replies
593 Views
Hakika naona Mambo si Shwari juu ya Suala la KATIBA MPYA.Ukimya wa SERIKALI Unaadmshuria UGUMU wa Suala hilo.Binafsi niliamini Suala hili kwa kuwa sio geni kwa Watanzania kutokana na UZOEFU...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mhe Laigwanan. tumekupumzisha katika nyumba yako ya milele lakini kama mfuasi mwaminifu wa Bwana wetu Yesu Kristo tuna imani utafufuliwa mnamo marejeo ya Kristo parapanda itakapolia Tanzania...
2 Reactions
10 Replies
923 Views
Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye...
59 Reactions
899 Replies
106K Views
Hapa angalia Lowassa alivyomdhalilisha Jakaya Kikwete. Unadhani ni sahihi? Walitesana kwa kweli
8 Reactions
93 Replies
8K Views
Dr. Mwinyi, nilikueleza Democracy inamipaka yake. Hata last time tulipoonana. Ukiendelea ku smile utavuruga amani ya ZNZ. Watu wachache watakutia doa. Wewe ni Rais kijana mwema na mwenye busara...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom