Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia ni maneno makali sana, ni dhahiri hii imekuwa changamoto sugu sasa.
Hivi wanaosimamia hii Wizara ya Nishati, wanahisi nini wanapoona...
Taarifa zilizotufikia hapa Mwanza ni kwamba Dkt. Slaa na Mbowe wamefanya kikao cha siri kuelea opresheni 255 kanda ya Kusini na kikao cha Dkt. Slaa kanda ya ziwa.
Majadiliano yao yamefuatia...
Juhudi za CHADEMA kuwasemea watanzania na kuwasaidia kujielewa na kuelewa hali zao zinaonekana kuzaa matunda. Ukweli ni kwamba watanzania wengi wanahitaji mtu anayeelewa mambo awafafanulie na...
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere...
Ukizungumza na baadhi ya wataalam wa TANESCO, wanasema mgao wa umeme ni wa kutengenezwa. Sababu za kutengeneza mgao huo zinatajwa ni ubinafsi wa baadhi ya watu, LAKINI nyingine inayotajwa ni...
Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia.
Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake...
Yesu alisema " Heri wanaolia sasa maana baadae Watacheka".
Mawaziri wetu walipothibitishwa tu kuendelea na serikali ya awamu ya 6 walianza na kucheka yaani full mbwembwe lakini sasa tunaelekea...
Wengi wanadhani Nyerere alimkataa Lowasa kama Lowasa, hapana Nyerere hakuwakubali wote wenye fikra za kibepari kuanzia akina Tuntemeke Sanga, Edwin Mtei nk
Nyerere aliukumbatia aina ya Ujamaa...
Prof Kabudi amesema yeye asili yake ni mkoa wa Singida ambao kiasili una makabila makubwa mawili yaani Wagogo na Wanyaturu waliotokea Ethiopia
Kabudi amesema kabla ya Uhuru Biashara kuu...
Wasaalam ndugu zangu watanzania,
Nina machache kuwaeleza kutoka vyanzo vya ndani vinavyoona vya mbali.
Mkakati ulisukwa ukasukika japo hawakutegemea kama utatiki kiasi hiki... pepo imeamia...
Naanika huu uozo hapa najua kuna usalama wa taifa ambao ni wazalendo au watu wa kwenye system wana uchungu na hii nchi....
Kuna hujuma zinafanywa kwa maagizo ya wakubwa fulani ipo hivi...
Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi...
Mbunge Stella Ikupa: Hatua Gani Zimechukuliwa kwa Halmashauri Zisizonunua Mafuta ya Watu Wenye Ualbino.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Festo Dugange...
Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.
Kusema...
Akizungumza na waandishi wa Habari wilayani Monduli katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye magonjwa yake Makubwa ni matatu Kupenda Ukweli, Pili Kupenda Wachapakazi na Tatu Uzalendo kwa Nchi...
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya...
Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa...
Hakika kila mwenye Macho haambiwi tizama
Ili tukio ni la kwanza kutokea
Haiwezekani Mh Rais Mstaafu apewe nafasi ya kuzungumza kwenye Msiba wa Membe na atoe ya moyoni dhidi ya uhusiano wake na...
Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara.
Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.