Ni kama CHADEMA iliwaacha Mawaziri wafanye mbwembwe zao zote kisha wao ndio wanaingia kazini sasa. Awesu kapotea kabisa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,031
142,090
Yesu alisema " Heri wanaolia sasa maana baadae Watacheka".

Mawaziri wetu walipothibitishwa tu kuendelea na serikali ya awamu ya 6 walianza na kucheka yaani full mbwembwe lakini sasa tunaelekea kwenye Uchaguzi wamepotea.

CHADEMA wanaongea wanavyotaka kwenye maandamano yao hakuna Waziri wa kuwajibu.

Makonda kafanya ziara lakini kila anakokwenda anakutana na madudu matupu.

Nakubaliana na Dr Nchimbi kwamba Viongozi legelege hawana nafasi kwenye CCM inayokwenda kujengwa.

Ahsanteni 😀
 
Back
Top Bottom