Na. Saidina Msangi, WF, Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Jukwaa la Kodi kitaifa lililoandaliwa na Wizara ya Fedha...
Binafsi namuunga mkono Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe aweze kumrejesha Chamani Dr Slaa
Dr Slaa aliondoka Chadema kwa heshima kupisha maamuzi muhimu ya kihistoria ya Kamati kuu ya Chama
Hata Mdee...
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi...
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu...
1. Mbeya Mwanza kumeonyesha - Umoja wetu utamng'oa nyoka pangoni:
2. Kwamba Slaa anasema:
_______
"Katiba iliyopo ilitengenezwa na watu wasiozidi 20 Kwa siku chache sana. Haipo sababu yoyote...
CCM:wanaodai katiba mpya ni wanasiasa ili waingie madarakani. Wapinzani:CCM wanabaki madarakani kwa kwa kutumia katiba hoi mbovu.
Sasa swali ni je,kuwa upinzani kunawaondolea haki ya kuwa kundi...
Habari zinazinifikia sasa hivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko Oldonyasambo, ambapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano...
Nadhani maamuzi magumu yanapaswa kufanywa na viongozi wakuu ktk Serikali zetu uswahiba na ukaribu na watuhumiwa nyangumi wa ufisadi ktk nishati ni kikwazo kikubwa sana cha maamuzi yenye tija Kwa...
Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana
SERIKALI imesema kuwa Mchakato wa kuanzisha tarafa za Igoma na Mkolani Nyamagana...
Baada ya kebehi na dharula za muda mrefu kwa Arusha kukosa Standi Kuu na Bora ya Mabasi ya Mikoani Hatimaye Mama wa Vitendo Rais Samia amewapa wana Arusha furaha.
Mamlaka za ujenzi zimetoa...
Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia ni maneno makali sana, ni dhahiri hii imekuwa changamoto sugu sasa.
Hivi wanaosimamia hii Wizara ya Nishati, wanahisi nini wanapoona...
Taarifa zilizotufikia hapa Mwanza ni kwamba Dkt. Slaa na Mbowe wamefanya kikao cha siri kuelea opresheni 255 kanda ya Kusini na kikao cha Dkt. Slaa kanda ya ziwa.
Majadiliano yao yamefuatia...
Juhudi za CHADEMA kuwasemea watanzania na kuwasaidia kujielewa na kuelewa hali zao zinaonekana kuzaa matunda. Ukweli ni kwamba watanzania wengi wanahitaji mtu anayeelewa mambo awafafanulie na...
Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere...
Ukizungumza na baadhi ya wataalam wa TANESCO, wanasema mgao wa umeme ni wa kutengenezwa. Sababu za kutengeneza mgao huo zinatajwa ni ubinafsi wa baadhi ya watu, LAKINI nyingine inayotajwa ni...
Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia.
Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake...
Yesu alisema " Heri wanaolia sasa maana baadae Watacheka".
Mawaziri wetu walipothibitishwa tu kuendelea na serikali ya awamu ya 6 walianza na kucheka yaani full mbwembwe lakini sasa tunaelekea...
Wengi wanadhani Nyerere alimkataa Lowasa kama Lowasa, hapana Nyerere hakuwakubali wote wenye fikra za kibepari kuanzia akina Tuntemeke Sanga, Edwin Mtei nk
Nyerere aliukumbatia aina ya Ujamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.