johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,012
- 142,046
Prof Kabudi amesema yeye asili yake ni mkoa wa Singida ambao kiasili una makabila makubwa mawili yaani Wagogo na Wanyaturu waliotokea Ethiopia
Kabudi amesema kabla ya Uhuru Biashara kuu zililofanyika Singida ni Biashara ya Watumwa na Pembe za Ndovu Ndio sababu Singida na Bagamoyo wanaelewa a sana
Kadhalika Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba na ukienda Oman utawakuta Wanyaturu waliotokea Singida, amesisitiza Profesa
Pia Azimio la Arusha liliandikiwa Singida na Mkuu wa Wilaya wa kwanza mwafrika Wakati wa Mkoloni alitokea Singida
Prof Kabudi amesema kiasili Wanawake wa Singida ni majasiri kuliko Wanaume na Brigedia wa kwanza mwanamke ambaye pia alipigana Vita ya Kagera anatokea Singida
Mlale Unono 😃😃