Dkt. Nchimbi: Mimi na Lowassa tunafanana vitu vitatu, Mosi Kupenda Ukweli, Pili Kupenda Wachapakazi na Tatu Uzalendo kwa Nchi yetu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Akizungumza na waandishi wa Habari wilayani Monduli katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye magonjwa yake Makubwa ni matatu Kupenda Ukweli, Pili Kupenda Wachapakazi na Tatu Uzalendo kwa Nchi yetu

Katika haya mambo matatu Nimefanya Sana na Edward, amesema Dr Nchimbi

Nchimbi Lowassa.jpg
 
Akizungumza na waandishi wa Habari wilayani Monduli katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye magonjwa Makubwa ni matatu Kupenda Ukweli, Pili Kupenda Wachapakazi na Tatu Uzalendo kwa Nchi yetu

Katika haya mambo matatu Nimefanya Sana na Edward, amesema Dr Nchimbi
Anasema kweli
 
Kwa hiyo Bwana Nchimbi anapenda ukweli huku yeye hajui kuongea huo ukweli.

Si katufunga kamba juzi tu kuhusu urais wa Marekani na kura za maoni za kumpata mgombea.
 
Back
Top Bottom